KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Sunday, March 16, 2014

HIVI NIKWELI WATALAMU WAMESHINDWA KUJUA Ndege ya Malaysia Airlines IKO WAPI

Ndugu zangu napenda kutoa Masikitiko yangu kwa Nchi zinazojidai kuwa zimeendelea Kiteconolojia ni aibu kwao kushindwa kufahamu iliko Ndege ya Malasia  hadi sasa. kwa kweli ina kera Nijuavyo mimi ndege husafiri kwa kuongozwa na watu wa contort Room .jee wao mpaka sasa hawajui wapi ndege iko. haya tukiachana na hilo watu 227 walio kuwemo kwenye ndege wangeweza kutoa tarifa wapi wapo ikiwa sio hivyo basi tujue Ndege hiyo ime ingia katika Anga la watu wengine, 

Sijui tuseme Majini wanao ishi katika Sayari Tusiyo ijua kama ni hivyo tujalibu kuwa ona hawa Masaikolojia . Ngege Moja ili wahi kupotea 1945 watu walisema mengi lakini ili tokana na Mtandao huu tulio kuwa nao ulikuwa bado, au Elimu ya kisasa ili kuwa bado sasa na wapa Kazi mnao jidai mabingwa wa Tecolonojia nikianza na Wachina, Wajapani , Na Wamarekani pamoja na Watu wa Dini mbalimbali  kujua ndege hiyo ikowapi
Ndugu wa abiria waliokuwa kwenye ndege hiyo wakisubiri taarifa kuhusiana na ndege hiyo Ndege ya Malaysia Airlines iliyokuwa na abiria 227 na wafanyakazi 12 inahofiwa kuanguka huko katika bahari kusini mwa China, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali la Vietnam.
Ndege hiyo aina ya Boeing 777-200ER iliyokuwa inatoka Kuala Lumpur kuelekea Beijing, ilikuwa imepotea kwa masaa kadhaa. Kama ripoti hiyo ikithibitisha, itakuwa ni ajali mbaya ya ndege ya aina hiyo (Boeing 777) tangu iingie sokoni miaka 19 iliyopita.

No comments:

Post a Comment