KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, May 2, 2015

AGRA NA MCHAKATO WA ZAO LA MAHINDI RUVUMAQ

Mkurugenzi Mkuu wa AGRA mwenye makao yake nchini Kenya Cd Clin akiwa  Mkoani Ruvuma kuona majabu ya kilimo cha mkono kinavyo zalisha Mahindi

Wakulima wa Mkoa wa Ruvuma wata nufaika na Tecolonojia mpya ya kuhifadhi mazao na kuepukana na uhifadhi wa kutumia madawa ambayo yalikuwa yana sababisha Maradhi ya magonjwa ya kansa pamoja na  kupunguza siku za kuishi


Mkuu wa wilaya ya songea Porofesa  Norman Sigala King' amesema tekolonojia hii ya kisasa ita weza kumwongea kipato   mkulima, pamoja na kumpunguzia ghara alizo kuwa akitumia kwa kununa Madawa  



,Afisa husiano wa AGRA Allan Ngaponda amesema ni mhimu kutumia tekonolojia hii mpya bila kuitumia wakulima hupoteza zaidi ya asilimia 30 mazao kila mwaka

Mkuu wa wilaya ya songea Pro .Noman Sigalla King' akiangalia kwa makini jinsi Tekolonojia mpya ina weza kuwa wadudu bila kutumia dawa
Watalamu kutoa AGRA wakionyesha jinsi ya kutumia kifuko fuko kwa mkulima mdogo nacho hakihitaji dawa bwana Allen Ngaponda akionyesha ufundi wake kwa wakulima

Meneja wa NFRA Mogan Mwaipyana amesema kuingia kwa Teconolojia Mpya ya Kuhifadhi mahindi kutaweza  kupandisha bei ya  Mahindi kwa kuwa Mahindi hayo yata kuwa na ubora wa kimataifa
Waandishi mbambali wakiishangaa Tekolonojia Mpya jinsi inavyto fanya kazi
Hilo ndilo gh;ala la kisasa ambalo halitumii dawa zaaina yoyote ile
Watalamu kutoka masirika mbalimbali yakiwemo AGRA,RUDI,BRITEN,CSDI wa kwanza kutoka kushoto ni Josephine na wanao fuatini ,,,,
Hawo hapo ndiwo wanao saidia kueneza utalamu huu wa kisasa dada Aairen Mbaab anaonyesha akishati katika mtandao
Kutoka kushoto ni Abel lyimo wakatikati ni Mkuu wa wilaya ya Songea Pre Noman Msigala anaye fuatia ni Dada Airen Mbaab na wa mwisho ni
Mkurugenzi wa Agra AGRA Cd Cilin
Allan Ngaponda akiendesha kikao na kumujulisha Mkuu wa Wilaya Faida ya kutumia Tekolonojia hii Mpya



Naye Mkurugenzi wa RUDI Abel Lyimo [wa kwanza kulia] Shirika linalo shugulikia usamazaji wa zana za kisasa za kuhfadhia Mahindi kwanjia ya Tecolonojia mpya ijulikanayo kwa jina la kifukofuko na Ghala la Chuma  bwana Abel Lyimo ameiomba serekari kuondoa kodi kwa zana hizi mpya za kuhifadhia mahindi zinapo ingia kutoka nje


Mkurugenzi mkuu wa Agra mwenye makao yake nchini Kenya Cd Clin amesema meshangazwa  kuona jembe la mkono lina uwezeso wakuzalisha mahindi mengi ameona mlundikano wa Mlima wa Mahindi hii ni dalili tosha kuwa sasa AGRA ina paswa kumwokoa mkulima kwa kutafuta soko la kuuza Mazao yake  .

Mkurugenzi wa Agra AGRA Cd Cilin Shirika linalo shugulikia Uzalishaji wa Mahindi Barani Africa [Nyota ya kijani  ] Cd Clin amesema atashilikiana na wafadhili mbalimbali ili kuhakikisha mkulima wa zao la Mahindi  hapotizi kile alicho zalisha ,




Mwili haujengwi kwa Zege bali ni lishe safi ,hiyo ni foleni ya kuchukua Chakula kwa wageni walio alikwa





Dada Josephene akiiomba serekari kuondoa kodi kwa Vifaa vya Tekonolojia vya Kifukofuko na Kihenge cxha chuma kwa kuwa bidha za kilimo hazitozwi ushuru

Mkurugenzi wa AGRA CD CILIN akielezea jinsi Mahindi yalivyo Mhimu ,Watu wengi hufa kwa njaa na hapa songea yapo amesema hii ni changamoto kubwa kwa Nchi za Afrika la Mhimu ni kushirikia kuondoa Changamoto hii

                                                       Allan akiendelea kutoa darasda
Alan Ngapoinda na Tekolonojia mpya akiwa na wakulima kuwaelimisha kwa vitendo jambo lililo onyesha ni ukombozi wa Mkulima
mtalamu wa vifukofuko kuto Tanga Ladislaus Ng'ingo akitoa elimu jinsi ya kuhifahi mahindi
Kutoka kushoto ni Meneja wa NFRA Songea Mogani Mwaipyana anaye fuata  Mkurugenzi wa Agra AGRA Cd Cilinwakatikat aliye katikati ni Mkuu wa Wilaya ya  Songea Noman Msigala King anaye fuatia ni Mkurugenzi wa RUDI Abel Lyimo na wa mwisho ni dada Josephine
Wadau wa kilimo wakipata chakula baada ya kupewa Elimu ya Jinsi ya kutumia Kifukofuko na Kihenge cha Chuma jinsi ya kuhifadhi Mahindi

No comments:

Post a Comment