KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, May 2, 2015

UWASHWAJI WA MWENGE MKOA WA RUVUMA NA DR MOHAMED SHEIN

 Rais wa Zanzibar Dr Mohamed Shein akisalimiana na wa hudumu wa Ndege uwanja wa Luhuwiko Manspaa ya Songea Mkoani Ruvuma
 Rais wa Zanzibar Dr Mohamed Shein akipokelewa na Mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu
 Rais wa Zanzibar Dr Mohamed Shein akipokea heshima kwa chipukizi mara baada ya kuwasili Mkoani Ruvuma
 Dr Shein Akivishwa Sikafu na Chipukizi katika uwanja wa Ndege songea
 Dr Mohamed Shein akisalimia na Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Ruvuma Kulusumu Mhagama
 Katibu wa UWT Mkoa wa Ruvuma akutoa sheshima ya kibantu kwa kupiga goti katika kumusalimia Rais wa Zanzibar Dr Mohamed Shein
 Katibu wa Songea vijijini akisalimiana na Dr  Ally Mohamed Shein
 katibu wa UWT Manspaa ya Songea Anna Ndumbaro akisalimiana na Mheshimiwa Dr Ally Mohamed Shein
 Kiongozi mkongwe wa Makatibu Tarafa Wilaya ya Songea akipokea baraka kutoka kwa Mheshimiwa Dr Ally Mohamed Shein
 Kijana Machachari katika kazi kutoka wilaya ya Mbinga akisalimiana na Dr  Ally Mohamed Shein
 Kamanda Chacha akipDr  Ally Mohamed Shein ena mikono na
 Mama anaye sababisha utulivu wa Maisha Mkoa wa Ruvuma akipeana Mkono na Dr  Ally Mohamed Shein

Rais wa Zanzibar Dr Ally Mohamed Shein amewaomba wa Tanzania kuendeleza shabaha za kuanzisha ukumbizaji wa mwenge iukiwa ni pamoja na kudumisha amani na utulivu
 Dr Ally Mohamedi Shein ameya sema hayo wakati wa uwashaji mwenge kitaifa katika mkoa wa Ruvuma ,amesema watanzania wana takiwa kujiepusha na watu wanao taka kuvuruga amani bali watanzania waendeleze madhumuni hasa ya kuwashwa kwa mwenge ikiwa na kuongeza upendo na kuondoa chuki palipo na chuki


Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu baada ya kukabidhiwa mwenge na Rais wa Zanziba aliukabdhi mwenge huo kwa Mkuu wa Wilaya ya Songea Noman  Adamson Sigalla king' kwa kiapo malumu kwa kuhakisha ujumbe wa Mwenge una mfikia kila mwananchi


Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu amesema Mwenge wa Uhuru ukiwa Mkoani Ruvuma uta zindua miradi mbambali ya Afya ,Elimu,Maji, Maliasili ,Mazingira na Miundo Mbinu ikiwa na Jumula ya Shilingi Bilioni kumi milioni mia tatu ishirini laki tatu na themanini na mia mbili ishiri na nane 10,320,380,228/=

 Wananchi walio furika uwanjani kushudia uwashwaji wa mwenge mmoja wao akiwemo mcheza mpira wa kisiasa ndugu Andrew Chatwanga
Rais wa Zanzibar Dr Ally Mohamed Shein amesisitiza swala la kutochagua viongo kwa njia ya Rushwa na kusema kufanya hivyo hakuwezi kuleta maendeleo wanayo yataka wananchi, bali watanzania wajiepushe na viongozi wakisisa wanao ashiria kuvuruga amani ya Nchi ya Tanzani
Waziri Jenista Mhagama akiwa na Mgeni wake Dr  Ally Mohamed Shein
 Mgeni Rasimi Dr  Ally Mohamed Sheinakiwa Tayari kwa kuwasha mwenge katika uwanja wa majimaji Manspaa ya Songea
 Kiongozi wa mbio za Mwenge akipata baraka kwa Dr  Ally Mohamed Shein
 Uwanja wa Majimaji uligubikwa na Halaki iliyo onnyesha maajabu kwa kuandika majina ya Viongozi wote walio pigana Vita vya Majimaji
 Nemia Chale msaidizi wa Mkuu wa Mkoa akipena mkono na Dr  Ally Mohamed Shein
 Hivyo ndivyo jeshi la Police lilivyo Tamba wakati wakimsindikiza Rais wa Zanzibar Dr  Ally Mohamed Shein akiingia uwanjani
 Waziri Jensta Mhagama akimpongeza Mkuu wa Mkoa kwa kufanikisha Sherehe za Uwashaji Mwenge kitaifa Mkoani Ruvuma
 Mkuu wa Mkoa wa Kirimanjaro Deodadas Mhagama akipeana Mawazo na wakuu wenzake wa Mikoa mbambali walio kuja kuhudhulia sherehe za uwasha mwenge Mkoani Ruvuma
 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma akisalimiana na waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali nchini Tanzania
 Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Mihayo Msekhela akipeana mkono wa Heri na kiongozi wake Raisi wa Zanzibar Dr  Ally Mohamed Shein
                      Onana Manjonjo ya Halaiki na watoto wa Mkoa wa Ruvuma

Katika uwashaji Mwenge wa uhuru kitafa  katika Mkoa wa Ruvuma uliongozana na kufanyika kwa halaiki yenye watoto 1000 pamoja na ngoma za utamaduni kutoka visiwa vya Zanzibar  


No comments:

Post a Comment