KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Wednesday, October 28, 2015

WAFUASI 54 WA CHAMA CHA CHADEMA SONGEA WA FIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUFANYA MAANDAMANO BILA KIBALI


Mahakama ya Hakimu Mkazi wa mahakama ya Songea amewasomea Mashitaka watu 54 wafuasi wa Chadema  kwa tuhuma ya  kosa la kufanya Maandamano hapo taerehe 26.10 2015 bila kibali  cha serekari  na kupuuza amri halali ya kuto fanya mgomo na  baadala yake kuwa tupia mawe asikari police.Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Songea Mheshimiwa Simon Kobero amewasomea Mashitaka   hapo 27/10/2015 Julius Timoth Ponera na wenzake 53  kwa makosa mawili
   1.kufanya Maandamano bila kibali
2. kosa la pili  kupinga amri ya Halali ya serekari kwa  kufanya  maanda manno, na badala yake kuendeleza mgomo kwa  kuwa tupia mawe asikari police   hivyo kuonyesh kuvunja   sheria nomberiNa. 75 chini ya kifungu cha 16 -  2002.
Mheshimiwa Hakimu Mkaazi wa Mahakama ya Songea Simon Kobero amewapeleka ndani washitakiwa wote 54 baada ya kukosa dhamana.  Kesi yao imehairishwa hadi tarehe 11/11/2015.
Kesi hiyo inasimamiwa na Wakili wa Serikali Renatusi Mkude Wakili Mwandamizi Mfawidhi wa Mkoa wa Ruvuma akisaidiwa na Mwanasheria Shabani Migore

No comments:

Post a Comment