KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Sunday, September 11, 2016

MAWASILIANO YA SIMU KUPITIA KAMPUNI YA VODACOMU YA RAHISISHA HUDUMA ZA KIUCHUMI KWA KUSOGEZA HUDUMA ZA 3G KWA ASILIMIA 55%KWA KIZAZI KIPYA


Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr Binilith Satano Mahenge  amewataka wananchi wa mkoa wa Ruvuma wanatumia mawasiliano ya simu kwa ajili ya mambo ya maendeleo ikiwemo nan kutafuta masoko ya biashara
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akizungumuza wa kati wa kuzindua duka mpya la voda com katika manspaa ya Songea amesema njia moja wapo ya kuongeza uchumi ni kutumia simu na kusam,baza rasilimali zilizopo kwa kuonyesha kwenye simu

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr Binilith Satano Mahengeakizindua Duka la Voda Shop  katika Manspaa ya Songea Mkoani Ruvuma
 Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma akipokea simu ya Kisasa kutoka kwa Afisa wa Vodacom Kanda ya Songea

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr Binilith Satano Mahenge amesma makampuni ya simu ikiwemo Voda Com wameweza kurahisisha  bishara mbalimbali kwa kuagiza bidha kwa njia ya simu na malipo kufanyika kwa kutumia simu

 Duka la Voda Shop lilioko Mtaa wa Sokoine Barabara ya Songea Mbambabay linavyo onekana kwa Mali
                           Mapambo yalivyo shamili katika Duka la Voda Shop Manspaa ya Songea
                                             Monekano wa Duka la Voda Shopo kwa Ndani
 Utepe unao uona katika Duka la Voda Shop Manispaa ya Songea kabla ya Mkuu wa Mkoa Dr Binilith Satano Mahenge kabla ya Ufunguzi
 Mfanyakazi wa Duka la Voda Com akitoa Maelezokwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr Binilith Satano Mahenge jinsi wanavyo hudumia Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma
 Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma wakigombania Simu za Voda za shilingi 20,000 ambazo ziliisha kwa dakika 20 na wananchi wakibaki wana zunguka na kuwaomba wahusika walete simu nyingine
 Voda Com wana vituko kweli sherehe hiyo iliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kukata keki ikiwa ishira ya upendo kati ya wateja wa Voda Com wa kiunganishwa na Mkuu wa Mkoa Dr Binilith Satano Mahenge
 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr Binilith Satano Mahenge akipewa Simu ya Kisasa kutoka kwa Amosi Henry  ili apate mawasiliano ya Kuwasiliana na Wanchi wa Mkoa wa Ruvuma
 Mtendaji Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ambaye ni Katibu tawala wa Mkoa wa Ruvuma Hasani Bendeyeko akipokea zawadi kutoka kwa wafanyakazi wa Vodacom
 Sherehe bila Shapeni bado haija noga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma  Dr Binilith Satano Mahenge akiongoza Shapeni ikiwa dalili ya Furaha kwa wateja wa Vodacom
                                        Shapeni hiyo bwana chezea Vodacom wewe

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dr Binilith Satano Mahenge amewataka wananchi kutumia simu katika mamambo ya maendeleo na sivinginevyo ,Voda Com ina tegemea kufungua Maduka mengine katika maeneo ambayo huduma hii ya voda haifiki

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr Binilith Satano Mahenge akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Vodacom
Furaha iliyoje kupeana Mkono na kiongozi wa ngazi ya Juu Vijana wa Vodacom walipata bahati hiyo

No comments:

Post a Comment