KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, September 15, 2016

UZINDUZI WA DUKA LA VIDACOM WILAYA YA MBINGA

Mkuu wa Kanda ya kusini Amos Henry Ngwaula akimkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mheshimiwa Cosmas Nyeri kuzungumuza na wananchi wa wilaya hiyo
Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mh.Cosmas Misenye akikata utepe ili kuzindua Duka Mpya ya Voda Shop aliye kushoto ni Mkurugenzi wa Kanda ya Kusini Amos Henry Gwaula
Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mh. Cosmas Isenye akikata keki kuonyesha ishara ya Upendo kwa wateja wote wanao tumia Mtandao wa Voda Com katika Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma
Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Cosmas Nyeri akimlisha Keki Mkuu wa Kanda  wa Kanda ya Kusini ya VodaCom ikiwa ni Njia ya upendo na kumtaka naye aeneze upendo huo katika miliki yake kwa kuto wauzia wateja wake Simu feki aendeleze uaminifu unao onyeshwa na kampuni ya VodaCom ya kuuza vitu vizuri
Hivyo hivyo Mkuu wa Wilaya aliendeleza kuwa lisha wafanyakazi wa VodaCom ikiwa ishara ya upendo
Wafanyakazi wa VodaCom wali rudisha upendo kwa Mkuu wa wilaya ya Mbinga kwa kumlisha keki ikiwa ni ishara ya kumweleza kinazalia kuwa utamu wa keki ni sawa na huduma mzuri zinazo sambazwa na VodaCom hivyo atarajie Maendeleo ya kiuchumi kwa wote watakao tumia mtandao wa VodaCom
Kwenye sherehe hakukosi Madoido Hapo Mkuu wa Wilaya ya Mbinga akipokea Shapeni ili kila atakapo kumbuka shapeni hiyo awaelezer wananchi kuwa Maendeleo hutokana na Maendeleo hasa ukitumia Huduma za VodaCom
Jee unge kuwa wewe una pewa waini kama hiyo na una kunywa unge jisikia vipi ? Hebu jiulize una jua kwa nini kila sherehe kabla haija anza watu hufungua Shampeni.? Na kwa nini mtu wa kwanza kupewa Shapeni ana kuwa Mgeni Rasimi ?Nim,e kupa hiyo changamoto ili kila jibu ulo jibu una hakikisha una tumia Mtandao wa Voda ComCom
Nifuraha Tupu kwa watu walio hudhulia Sherehe za uzinduzi wa VodaCom katika Wilaya ya Mbinga
Mkuu wa Wilaya Mh.Cosmas Senye akitoa ujumbe kwa wananchi wa Wilaya ya Mbinga kuwa kila mmoja awe na wivu wa kuwa Tajili hiyo ina wezekana endapo utafuata Taratibu Kanuni na Miongozo ya kufikia kwenye Utajili ,Jambo mhimu ni kuhakikisha kila biashara unayo ifanya una wafahamisha wenzio kwa kutumia mawasiliano ya Simu na siyo mengine bali ni Mtandao wa Voda Com ,Pia ukifanya Biashara kumbuka kujiwekea fedha zako kwenye simu yako kwa kufuata mashariti ya VodaCom 
wananchi walio kuwa wakisikiliza hotuba ya Mkuu wa Wilaya Kuhusu Mtandao wa VodaCom na Faida zake
Mkuu wa Wilaya ya Mbinga wapili kutoka kushoto Mheshimiwa Cosmas Senye akiwa na Mkuu wa kanda ya kusini ya VodaCom Amosi Henry Ngwaula wa kwanza kulia wakiwa katika Picha ya Pamoja wawili kulia ni wafanyakazi wa VodaCom
Jengo la VodaCom ambalo liko Mtaa wa Benk ya NMB linavyo onenana kabla ya kuzinduliwa

No comments:

Post a Comment