KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Tuesday, November 7, 2017

NAPENDA KUWA PONGEZA WALE WOTE WALIO WEZA KUINGIA KATIKA BLOG YANGU YA SONGEA HABARI


Ndugu zangu mnao angalia Blog ya SONGEA HABARI napenda kuwa pongeza kwa kuweza kunipa moyo wa kuendelea kuwa pasha tarifa mbalimbali za Tanzania pamoja na tarifa za Nchi zinazo tuzunguka shukurani zangu ziweendee watu wanao ishi nchi zifuatazo .

 Msaidizi wa Blog ya Songea Habari Judith Lugoye akitangaza vivutio vilivyopo katika ziwa nyasa  picha ya chini ni Adamu Nindi Mkurugezi wa blog ya Songea Habari akiwa katika jijij la Arusha
WADAU WETU WANAO ANGALIA BLOG YETU KILA SIKU NI HAWA WAFUATAO U.S.A ,RUSSA.FRANCE,INDONOSIA.SPAIN,SWEDEN,CHINA,KENYA NA TANZANIA. Naomba maoni yenu jinsi ya kuboresha BLOG HII YA SONGEA HABARI KWA KUTOA MAONI HATA KUCHANGIA KIFEDHA KAMA WALIVYO FANYA WATU WA U.S.A  Ni mimi Adam Nindi Mkurugenzi wa Blog ya Sonjgea Habari ni Kishirikiana na Judith Lugoye

No comments:

Post a Comment