KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Sunday, November 5, 2017

rc dodoma na rc ruvuma star tv



BARAZA LA MAWAZIRI OKTOBA 2017

Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
I.         Waziri – George Huruma Mkuchika

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
I.         Waziri -  Selemani Said Jafo
II.        Naibu Waziri - Joseph Sinkamba Kandege
III.       Naibu Wazri - George Joseph Kakunda

Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira.
I.         Waziri - January Yusuf Makamba
II.        Naibu Waziri -  Kangi Alphaxard Lugola

Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu.
I.        Waziri - Jenista Joackim Mhagama
II.       Naibu Waziri -   Anthony Peter Mavunde (Kazi, Vijana na Ajira)
III.      Naibu Waziri -   Stella Alex Ikupa (Walemavu)
                
Wizara ya Kilimo.
I.         Waziri - Dkt. Charles John Tizeba
II.        Naibu Waziri - Dkt. Mary Machuche Mwanjelwa

Wizara ya Mifugo na Uvuvi.
I.         Waziri - Luhaga Joelson Mpina
II.        Naibu Waziri -      Abdallah Hamis Ulega

Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
I.         Waziri - Prof. Makame Mbarawa Mnyaa
II.        Naibu Waziri -      Mhandisi Atashasta Justus Nditiye
III.       Naibu Waziri -      Elias John Kwandikwa

Wizara ya Fedha na Mipango.
I.         Waziri -  Dkt. Philip Isdor Mpango
II.        Naibu Waziri -      Dkt. Ashatu Kijaji

Wizara ya Nishati.
I.         Waziri - Dkt. Medard Matogoro Kalemani
II.        Naibu Waziri - Subira Hamis Mgalu

Wizara ya Madini.
I.             Waziri - Angellah Kairuki
II.            Naibu Waziri -      Stanslaus Haroon Nyongo

Wizara ya Katiba na Sheria.
I.             Waziri -  Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi.


Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
 I.         Waziri -   Dkt. Augustine Philip Mahiga
 II.        Naibu Waziri -  Dkt. Susan Alphonce Kolimba

Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga (JKT).
I.         Waziri  -       Dkt. Hussein Ali Mwinyi

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
I.         Waziri -        Mwigulu Lameck Nchemba
II.       Naibu Waziri -   Mhandisi Hamad Yusuf Masauni

Wizara ya Maliasili na Utalii.
I.         Waziri -   Dkt. Hamisi Andrea Kigwangalla
II.        Naibu Waziri -      Josephat Ngailonga Hasunga

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
I.         Waziri -     William Vangimembe Lukuvi
II.        Naibu Waziri -      Angelina Sylivester Mabula

Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.
I.         Waziri -       Charles Paul Mwijage
II.        Naibu Waziri -      Mhandisi Stella Martin Manyanya

Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi.
I.         Waziri -   Prof. Joyce Lazaro Ndalichako
II.        Naibu Waziri -      William Tate Ole Nasha

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.
I.         Waziri -    Ummy Ally Mwalimu
II.        Naibu Waziri -      Dkt. Faustine Engelbert Ndugulile

Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
 I.         Waziri -    Dkt. Harrison George Mwakyembe
 II.        Naibu Waziri -      Juliana Daniel Shonza

Wizara ya Maji na Umwagiliaji.
I.         Waziri -     Mhandisi Isack Aloyce Kamwelwe
II.         Naibu Waziri -      Jumaa Hamidu Aweso

No comments:

Post a Comment