KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Monday, January 8, 2018

MBAO ZA MAGENDO ZA KAMATWA SONGEA MKOANI RUVUMA



Jeshi la police Mkoani Ruvuma lina mshikilia mfanya Biasha mmoja kwa tuhuma ya kusafirisha mbao 400 bila kibali cha Maliasili  pamoja na kukwepa kodi Serekarini

Mkuu wa wilaya Songea  Pololeta Kamando Mgema akiongoza kamati ya ulinzi na usalama walifanikiwa kumtia nguvuni Peter Mahenge ambaye anaishi Bombambili aqkiwa na mbao 400 ambazo ali zificha katika nyumba yake
Mkuu wa wilaya Songea  Pololeti Kamando Mgeni baada ya kulizika na upekuzi ulio fanywa na police aliamurisha mbao zote zipekwe kwenye yadi ya serekari wakati upelezi ukiendelea


Mkuu wa wilaya ya Songea Poleti kamando Mgema amewataka wananchi kuwa walinzi wa mali zauma kuteketa kwa misitu pasipo kuwa na faida kwa kuwaachia watu wavune kama shamba la bibi iwe mwisho kwa wilaya ya Songea, kila mwananchi awe mlinzi kwa rasilimali za Taifa




No comments:

Post a Comment