KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Monday, January 8, 2018

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Mungano watanzania amewataka watumishi wa idara ya Mapato kuacha kuwa sumbua wananchi wanapo kuja =kulipa kodi ya mapato waziri mkuu amekemea swala la rushwa na ufisadi katika awamu hii ya 5

Waziri mkuu amesema kodi ndiyo inayo jenga nchi hivyo kuwa nyanyasa watu wanao taka kulipa kodi nikurudisha maendeleo ya nchi.waziri mkuu amewaahidi wanchi kuendeleza ujenzi wa wilya ya nyasa kwa kujenga  majengo mbalimbali ya serekari

No comments:

Post a Comment