KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, January 25, 2018

WATAALAMU KUTOKA WAKALA WA HUDUMA ZA MAZAO YA MISITU TFS WAKISHIRIKIANA NA SUMATRA NA ASKARI WA USALAMA BARABARANI WATOA ELIMU KUHUSU UHARIBIFU WA MAZINGIRA MKOANI RUVUMA



Wakala wa misitu mkoa wa Ruvuma na wakala wamisitu kanda ya kusini  wakishirikiana na jeshi la police wameendesha mafunzo kwa waendesha baisikeli na watumia pikipiki kuacha kusafirisha mali asili kwa kutumia vyombo hiovyo kuwa kufanya hivyo nokukosesha mapato yanayo tokana na misitu





Naye Mkuu wa kikosi cha Usalama barabani Abeli Swai amewataka watu wanao tumia pikipipi na baisikeli kuacha kusafirisha mkaa au kuni kwa kuwa vyombo hivyo kisheria  haviruhusiw kusafirisha au i kubeba mizigo mizito ya mkaa na kuni







Wananchi wa kawaida waliokuwa wakitumia baikeli kwa kubeba mizigo mizito ya mkaa na kuni wameahidi kuto safirisha mkaa bila kibali cha wakala wa misitu aidha  wananchi wengine wamewaasa wenzao kuucha kusafirisha mkaa usiku ili kukimbia kulipa mapato ya serekari



Meneja wa kanda ya kusini wa Tfs   Gagdens Kisaki amesema ili kuweza kuingiza mapato yanayo tokana na bidhaa za mali asili nilazima kufuta kanuni za na taratibu za kuvuna misutu


Wakala wa mazao ya Mazao ya misitu kutoka mtwara  wameweza kutoa elimu katika mitaa 320 ya Manspaa ya Songea na elimu hiyo kuwa fikia watu zaidi ya mia tatu

No comments:

Post a Comment