KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Monday, December 3, 2012

MEYA WA MANSPAA YA SONGEA CHARES MHAGAMA AWATAKA WAZAZI KUPUNGUZA ADHABU KALI KWA WATOTO WALIO CHINI YA MIAKA 18

 Meya wa Manspaa ya Songea Chares Mhagama akiwa katika Maafali ya watoto waali katika shule ya awali Charity iliyoko Matarawe, Meya amewataka wazazi kuachana na adhabu ya kuwachoma moto watoto wanapo poteza fedha baada ya kuwa tuma kununua kitu fulani amesema Haki ya Msingi ya kimataifa tuliyo Ridhia ni Mtoto ana Haki ya Kukosea
 Watoto walio chini ya miaka 5 wakiwa katika Maafali ya Kumaliza masomo ya awali katika shule ya  Charity Matarawe Songea
 Meya wa Manispaa ya Songea akiwa amepiga picha ya pamoja na Watoto wa wa sule ya awali amesema kwake ni Fahali kubwa kupiga picha na watoto wadogo
Chaers mhagama meya wa maspaa ya Songea akiwa na baadhi ya wazazi katika maafali ya shule hiyo ya Charity
 Mzazi katika shule ya awali ya Charity Mama Mtamakaya akitoa neno la mbele kwa wazazi wenzie akiwa taka kuwa somesha watoto wao kwani hiyo  ni akiba yao ya baadaye
 Mwalimu Rose Silingi akisoma Risala mbele ya Mgeni Rasimi kwa kueleza changamoto zinazo ikabili shule hiyo ikiwa na pamoja na wazazi kuwa toa watoto kabla ya watoto kumaliza miaka 3
 Watoto wa Shule ya awali Charity wakisoma lisala kwa mgeni Raisimi Chares Mhagama wakimwomba awahimize wazazi wenzie kuwa endeleza watoto hadi chuo kikuu
Watoto walio baki katika shule ya Awali wakitumbuiza wageni walio hudhulia Maafali katika shule ya awali ya Charity iliyoko Matarawe Manspaa ya Songea

No comments:

Post a Comment