KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Tuesday, December 4, 2012

WAHAMIAJI HARAMU WAKAMATWA MKOANI RUVUMA WAKITOKEA ETHIOPIA Afisa Uhamiaji Mkoa wa Ruvuma Koku Lwebandiza akielezea jinsi walivyo fanikisha kuwa kamata wahamiaji haramu kutoka Ethiopia amesma wahamiaji wote 22 wata fikishwa mahakamani ili hukumu itolewe warudishwe kwao Ethiopia
 Wahamiaji Haramu Kutoka Ethiopia wakiwa katika ofisi za Uhamiaji Mkoa wa Ruvuma
 Ni wa hamiaji Haramu wakihojiwa na Asikari wa Uhamiaji jinsi walivyo ingia Nchini Tanzania wakitokea Ethiopia

Kama unavyo waona Wahamiaji hawa haramu wametoka Ethiopia na kupita mikoa mbalimbali ya Tanzania hadi kufika kijiji cha magazini katika wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma jee nani yuko kati yao hadi kumaliza mikoa yote ?
 Niajabu nakweli kwa wahamiaji hawa haramu kila wanapo kamatwa huwezi kuona mwanamke jee ni kweli hawa ni wa hamiaji haramu au kuna kitu kina fichwa ndani yao
Hawa ni moja ya wahamiaji haramu hapo wamechoka wakidai kupewa chakula wana sema wanaji sikia njaa

2 comments: