KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, July 25, 2015

CCM NA WAGOMBEA MKOANI RUVUMA FOMU YA KUGOMBEA MILIONI TATU NA LAKI MOJA 3,1OO,000/=

Viongozi ambao wamejitokeza kuchukua Fomu katika jimbo la Songea Mjini wamefikia nane na waliorejesha fomu hizo ni wagombea sita.

Viongozi mbalimbali wa chama cha Mapinduzi wamejitokeza kurudisha fomu wakiwemo Mbunge wa zamani wa Jimbo la Songea Mjini Dr. Emmanuel john Nchimbi.
Katibu wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Songea Mjini amewataja wagombea waliochukua fomu kuwa ni Sebastian Waryuba, Tereza Uviza, Azizi Mohamedi Fakili, Musa Laurence Gama,  Leonidas Twitbet Gama, Raymond Muhenga, Erick Mapunda na Dr. Emmanuel John Nchimbi.  
                                                          Sebastian Waryuba,

Katibu wa CCM Wilaya ya Songea Mjini Juma Mpeli amesema mwamko wa wagombea umekuwa mkubwa ingawa wagombea wote wameonyesha imani ya kuwa wagombea,
Katibu wa CCM Wilaya ya Songea Vijijini Rajabu Uhonde amesema wagombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi Songea Vijijini waliojitokeza  kuchukua fomu katika

Majimbo mawili ya Uchaguzi ni 13, Madaba wagombea 10 na Jimbo la Peramiho watatu
Amewataja wanaosndania katika Jimbo la Peramiho ni pamoja na Jenista Johakim Mhagama, Lazaro Venas Pius Mgaya na Glorias B. Luoga, kwa Jimbo jipya la Madaba wagombea ni pamoja na Joseph Kizito Mhagama.

No comments:

Post a Comment