KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Friday, July 17, 2015

RAYMOND MBUNGU APOTEA KATIKA MAZINGIRA YA KUTATANISHA WILAYANI MBINGA

Raymond Mbungu (17) Mkazi wa Mbinga Mjini Mtaa wa Uzunguni ametoweka katika mazingira ya kutatanisha toka siku ya jumatatu ya tarehe 13/07/ 2015 mpaka sasa haijulikani mahali alipo.

Raymond Mbungu ni Mwanafunzi katika Sekondari ya Ruhuwiko Jeshini . Kwa yeyote atakayemuona au kufahamu mahali alipo atoe taarifa kwenye kituo chochote cha Polisi kilicho karibu naye, au awasiliane na wazazi wake kwa namba zifuatazo:  0756 047754 / 0768 220065 / 0764 199264.

Au unaweza kuwasiliana na kituo cha Redio Free Afrika Songea kwa Namba zifuatazo; 0755 731234 / 0755 061588

No comments:

Post a Comment