KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Sunday, March 27, 2016

SHIRIKA LISILO LA KISEREKARI LA PAD LA TOA VIFAA TIBA KWA WAZEE WA MANSPAA 7YA SONGEA

shirika lisilo la kiserekari la PAD likitoa vifaa tiba katika Zahanati za Manspaa ya S
ongea Dr Maida akitoa vifaa hivyo kwa niaba ya Mkurugenzi wa PAD Isaka Msigwa

moja ya vifaa vilivyo tolewa ni pamoja na Mizani za aina mbalimbali
Mizani za kisasa ambazo zimetolewa na shirika la PAD
Vifaa tiba vilivyo tolewa na PAD Kutoka kwa wafadhili wa Inchi ya Ungereza ambayo ina saidia wazee Tanzania
                              watalamu wa zahanati za Manspaa ya Songea wakijaribisha Mizani za kupima uzito

                              watalamu wa zahanati za Manspaa ya Songea wakijaribisha Mizani za kupima uzito
         vifaa vilivyo tolewa ni jumula ya vifaa 66 ikiwa nipamoja na  vifaa tiba vikiwa na zaidi ya shilingi milioni 13

No comments:

Post a Comment