KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Monday, March 28, 2016

ANUSURIKA KUPOTEZA SEHEMU NYETI ZA SIRI SONGEAKamanda wa Police mkoa wa Ruvuma Zuberi Mwombezi amekemea Vikali vitendo vya Unyanyasaji wa kijinsia baada ya Mfanyakazi mmoja wa Shirika la TANESCO Mkoani Ruvuma kukatwa sehemu za siri na  mwanamke wa  wa nyumba ndogo na kusababisha kuzirai mfanyakazi huyo.
Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Zuberi Mwombezi amesema katikka siku hizi za Siku kuu ya Pasaka Mfanyakazi mmoja wa Shirika la TANESCO mtunza Stoo, Philipom Msowola alikwenda nyumba ndogo hali ya kutoelewana ilianza na nyumba ndogo ikachukua kitu chenye ncha kali na kumkata Philipo Msoyola jambo lililosababisha apoteze fahamu ambapo baada ya tendo hilo mwanamke wa  nyumba ndogo hiyo ametoroka.

No comments:

Post a Comment