KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Sunday, March 27, 2016

WANAKIJIJI WAWEKA MSIMAMO KUHUSU ELIMU MAPOSENIWazazi wa vijiji vya Maposeni songea vijijini  wameiomba  Serikali kuingilia kati mtindo wa  vijijana  wanaotelekeza watoto  baada ya kuwazaa na  kuwaachia Wazee ambao umri wao hawawezi kuwalea wajukuu.
 Wazazi hao wameyasema hayo katika Semina iliyoandaliwa na Haki Elimu kutoka Makao Makuu Dar-Es-Salaam, Semina iliyofanyika Maposeni Songea Vijijini na kushirikisha watu 70 kutoka makundi yote ya kijamii.Wazazi wamesema kumekuwa na mtindo wa Vijana kuzaa na kutelekeza watoto kwa wazee wao huko nikukimbia majukumu serekari kwa sasa ichukue hatua kali kwa vijana  wanao telekeza watoto baada ya kuwa zaa 

makao makuu ya Halimashauri ya wilaya ya Songea Vijijini ambayo ime jengwa Maposeni Songea Vijijini
Mlemavu akijisogeza bkatika ukumbi wa semina ya Haki elimu .Walemavu wameomba kujengewa vyoo ambavyo wata weza kuvitumia pia kuwe na uhamasishaji kwa wazazi wanao waficha walemavu wasipate Elimu


Semina ya marafiki wa Elimu ilijumuisha Wajumbe 70 wakiwemo Wanawake 20 na Wanaume 50 wakiwemo Walemavu, Viongozi wa Dini, Vijana, Wazee na Walimu wa Shule za Msingi.Afisa Mipango wa Haki ElimuNaomi Mwakilembe  amewaomba wazazi kufuatilia kwa ukaribu  kwa watoto wao kuhakikisha elimu wanayo pewa  niile iliyo lengwa na serekari


Afisa Mipango wa Haki ElimuNaomi Mwakilembe  amewaomba wazazi kufuatilia kwa ukaribu  kwa watoto wao kuhakikisha elimu wanayo pewa  niile iliyo lengwa na serekari

Afisa Mipango wa Fedha kutoka Makao Makuu akiangalia wananchi wavyo weka Mikakati ya kuimarisha Eliumu
Mwenyekiti wa Haki Elimu Mkoa wa Ruvuma Juma Nyumayo akiratibu Semina iliyo jumuisha watu 70


Wadau wa Elimu ambao ni marafiki wa Elimu wameahidi kulinda Elimu kwa kuweka Mikakati ambayo itakuwa Dira kwao.

Afisa Mipango wa Haki Elimu kutoka Makao  makuu ya Halimashau Naomi Mwakilrmbe akitoka kuangalia offisi mpya ya Halimashauri ya wilaya Songea Vijijini

Mwenyekiti wa Haki Elimu Mkoa wa Ruvuma Juma Nyumayo amekemea vikali vitendo vya watoto kupelekwa Nchi jirani kwa ajili ya kufanya Biashara za  Mabaana na Ngono

No comments:

Post a Comment