KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, October 8, 2016

MAAFALI YA SEKONDARY YA BEROYA SONGEA 2016

Mkuu wa wilaya ya Songea Mh.Pololet Kamando akiingia  kwenye Maafali ya Sekondari ya Beroya ongeaMansipaa ya S
Waandishi na wapiga picha wakichukua kumbukumbu kwa ajili ya kuwajuza wale ambao hawa kushiriki
mkuu wa wilaya akiwa kwenye makitaba ya Beroya
Mkuu wa wilaya ya Songea Pololet Kamando Mgema akijisomea kitabu katika makitaba ya Beroya Sekondari
Vijana wa Maabara wakionyesha jinsi wanavyo weza kutumia vifaa vya maabara katika masomo mbalimbali
Mkuu wSongea Pololet Kamando Magema akiendelea kuangalia vitabu mbalimbali katika makitaba ya Beroya Sekondari
wanafunzi wa  kidato cha nne wapatao 138 wakiingia ukumbini tayari kwa kuagwa na ndugu na jamaa
Mkuu wa Wilaya ya Songea akiwa Maabara
Nyoka aina ya chatu amambaye ameweka maabara kwa ajili ya mafunzo ya masomo ya viumbe
                                                          Wahimu wakiwa shule ya Sekondari Beroya


Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Beroya  katika Manispaa ya Songea waeiomba Serikali kutatua changamoto ya ukosefu wa masomo ya Kompyuta ili waweze kuingi a katika Ulimwengu wa TEHAMA.Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Beroya ambayo ni ya Mtu binafsi wamewathibitishia wazazi kufanya vizuri katika Mitihani ya kidato cha Nne,  wameomba Masomo ya kompyuta kwa kuwa ni ajira nyepesi katika kujiajiri pili wanaweza kujiendeleza kwa kusoma Mafunzo mbalimbali kupitia Internet.

Mwana funzi wa Shule ya Sekondary Beroya Tumaini Adam akiwa na cheti chake kinacho thibitisha kuhitimu kwake

wanafunzi walio hitimu wakipokea vyeti kutoka kwa Mkuu wa Wilaya Songea Pololet Kamando Magema
Wazazazi mbalimbali walio shiriki maafali ya wanafunzi wa kidato cha nne katika sekondari ya Beroya
wazazi wa kifurahia watoto wao kuhitimu elimu ya Sekondari
Tumaini Adamu na Mdogo wake Nuru Nindi a  kimvishMkuu wa Shule ya Sekondari ya Beroya amesema anasikitishwa na janga lililowakuta watu wa Kagera kwa Tetemeko hivyo wamelazimika kuchangia kiasi cha shilingi 100,000 katika Akaunti ya Maafa.

Wazazi walio kuja kushuhudia maafali ya kidato cha nne shule ya sekondari ya Beroya
Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Kamando Mgema akili sakata kandanda kuonyesha hata yeye michezo alisha wahi kupitia , Mkuu wa Wilaya ya Songea amewaagiza wanafunzi kuzinga tia Michezo
Ufugaji wa Samaki ni moja ya Masomo yanayo tolewa kwa wanafunzi wa Sekondari ya Beroya


Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Beroya  katika Manispaa ya Songea waeiomba Serikali kutatua changamoto ya ukosefu wa masomo ya Kompyuta ili waweze kuingi a katika Ulimwengu wa TEHAMA.Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Beroya ambayo ni ya Mtu binafsi wamewathibitishia wazazi kufanya vizuri katika Mitihani ya kidato cha Nne,  wameomba Masomo ya kompyuta kwa kuwa ni ajira nyepesi katika kujiajiri pili wanaweza kujiendeleza kwa kusoma Mafunzo mbalimbali kupitia Internet.
Nuru Nindi akitoa zawadi kwa Dada yake Tumaini Adamu kwa kuweza kumaliza kidato cha nne


Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Kamando Mgema amewaomba Wazazi kuwatupia macho watoto wao katika kipindi hiki cha kusubiri matokeo ya kidato cha Nne wasije wakajiingiza katika Mkoando wa Mambo mabaya na pia kuwaasa wanafunzi wa kike kujiepusha na anasa zisizo na msingi.Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Kamando Mgema amewaomba Wazazi kuwatupia macho watoto wao katika kipindi hiki cha kusubiri matokeo ya kidato cha Nne wasije wakajiingiza katika Mkoando wa Mambo mabaya na pia kuwaasa wanafunzi wa kike kujiepusha na anasa zisizo na msingi.

Wazazi wa Tumaini Adam wakiwa kwenye Mafali huku wakitoa Zawadi Mbalimbali  kwa mtoto wao

No comments:

Post a Comment