KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Sunday, October 15, 2017

MSAADA WA KISHERIA STORY



Kutokana na kuwepo kwa Msaada wa Kisheria kwa njia ya kujitolea Mkoani Ruvuma umesaidia kupunguza wafungwa katika Magereza baada ya kupata Elimu ya Sheria.

Kuwepo kwa watoa Elimu wa Msaada wa kisheria Mkoa wa Ruvuma kumesaidia kuwapa uelewa wananchi kudai haki zao,.  Hakimu Mkaazi wa Mkoa wa Ruvuma Yakobu  Nyongolo  k  amewaomba wasaidizi wa kisheria kutumia mtlandao ili elimu wanayoitoa iweze kufika mbali.

Mkurugenzi wa AI lC  Agines Haule   ameeleza mafanikio ya AICL mkoa wa Ruvuma yameweza kuwapa elimu ya kujua sheria Naye  msaidizi wa kisheria kutoka mbinga amesema kupungua kwa wafungwa katika magereza ni baada ya watu  kupata elimu ya kisheria.
Mgeni rasimi aliye mwa kilisha mkuu wa mkoa wa Ruvuma amewaqtaka wasaidizi wa kisheria kusimamia sharia na kanuni
 Msaada wa Kisheria katika Mkoa wa Ruvuma umeweza kuwafikia watuzaidi 400

No comments:

Post a Comment