KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, November 23, 2013

MATOKEO MAKUBWA SASA KIELIMU KATIKA SHULE YA SEKONDARI ELULI SONGEA

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Eluli Vinicent Lukila akitoa utambulisho kwa wageni walio hudhulia Mafali ya Kwanza  ya Shule hiyo Kutoka Kushoto ni Mama Mwanga na wa Pili kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Shule ya Sekondari ya Eluli Dr. Wilfrerd Mwanga na watatu ni Mheshimiwa Diwani wa Kata ya Mshangano Ndugu Mhagama
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Eluli Vinicent Lukila akiwa na Diwani wa Mshangano Mh. Mhagama na anaye fuiatia ni mkurugenzi wa Shule ya Sekondary Eluli Dr ,Alfrerd Mwanga na mama aliye vaa suti Nyeupe ni Mama Mwanga.

Shule ya Sekondari ya Eluli iko kilometa sita kutoka Songea Mjini upande wa mashariki ipo katika Mtaa wa  Namanyigu kata ya mshangano wilaya ya songea mkoani Ruvuma. Mpaka sasa shule ina wanafunzi 50 hata hivyo imeweza kuonyesha maajabu katika matokeo ya moko imekuwa ya kumi kimkoa kati ya shule 35 za manspaa ya songea
Kwamara ya kwanza shule ya Sekondari ya Eluli iliyoko manspaa ya songea imeweza kufanya maafali ya kwanza kwakuweza kuwaaga wanafunzi 10 walio hitimu kidato cha Nne kama wanavyo onekana katika picha
kikundi cha Adam wa Pili kikitumbuiza nyimbo za Dini katika Maafali ya Kwa Kwanza katika sekondary ya Eluli
Wanafunzi katika shule ya sekondari ya Eluli manspaa ya Songea wakiwa katika maafali ya kwanza wakiwaaga wenzao walio weza kuhitimu masomo ya kidato cha Nne
Wahitimu wa kidato cha Nne wakiwa na furaha baada ya kuvishwa Mataji na kupewa vyeti vya kuhitimu kidato cha Nne

No comments:

Post a Comment