KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, November 28, 2013

MKUTANO WA ASASI ZA KIRAIA ZIKIJADILI JINSI YA KUJENGA MUAFAKA WA MASWALA TATA KATIKA MAUDHUI NA MCHAKATO WA KATIBA

washiriki wakisikiliza mambo mapya kuhusu jinsia imebaionika kuwa asilimia kubwa katika watu wanao pata changamoto ni wanaume, lakini mara nyingi wanaume waona aqibu kuwa wana nyanyaswa na wake zao.jingine ni kuhusu katiba itoe mwanya wakuifanya mimba ionekaqne ni kiumbe haqi
 Mwezeshaji mama Gemma Akilimali akitoa mada kuhusu jinsia katika mchato wa katiba na kuitaka katiba ieleze wazi ubakaji katika ndoa nakudai watoto wa mitaani huongezeka kutokana na ubakaji katika ndoa, pia mtoto anapo zaliwa huwa hana akili timam kutokana na mama kuasilika baada ya kubakwa katika ndoa ,
 Washiriki katika Ukumbi waMay Fair Hoteli Jijini Dar-es- salaam wakiwa katika mjadala wa maswala ya Maudhui ya Mchakato wa Katiba
 Washiriki kutoka mikoa mbalimbali Tanzania wakiwa wana sikiliza kwa makini wakati mama Akilimali akielezea kuhusu Maswala ya Kijinsia
 Washiriki wa Mkutano wa Kujadili kuhusu maswala ya jinsi mchakato wa katiba unavyo endeshwa haraka haraka na wananchi kukosa kile wanacho kihitaji
 Mshiriki katika madhui ya Mchakato wa Katiba akitafakali jinsi Rasimu ya Katiba Jee ina wajali Makundi yote
Wajumbe kutoka Zanzibar wakiwa katika ukumbi May Fair Hotel kujadili Maudhui ya Mchakato wakatiba
Mtunza kumbumbu akiperuzi nyaraka mbali mbali  ili kuufanya mkutano wa kujadili maudhui ya Mchakato wa katiba ili kila kilicho changiwa kina ratibiwa
Mwezeshaji wa Mkutano wa kujadili Maudhui wa Mchakato wa katiba mama Akilimali akizianda dondoo za kijinsia

No comments:

Post a Comment