KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, January 9, 2014

KIKAO CHA USHAURI MKOA WA RUVUMA CHA JADILI UAJIBIKAJI WA TENESCO NA UTENDAJI WA TANCOAL RWANDA


Mbunge wa Namtumbo Mh. Vita Kawawa akishauriana na Mjumbe Mwenziwe  jinsi ya kuweza kuleta Maendeleo katika wilaya ya Namtumbo ambayo kipato chake kina tokana na Kilimo cha Tumbaku
 Mwenyekiti wa Halimashauri ya Wilaya ya Nyasa Odo Mwisho akihojiwa na Blog ya Songea Haari kuhusu Maendeleo ya Wilaya Mpya ya Nyasa,Changamoto ni Vifaa vya Uvuvi vya Kuvulia Samaki katika Ziwa Nyasa na Mindo Mbinu mibovu ya Barabara kutoka Mbinga hadi Mbambabay
 Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Ruvuma akiwa katika kikao cha Mkoa kusikiliza Mawasilisho kutoka kwa Viongozi Mbalimbali Mkoani Ruvuma
 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akiwa katika kikao cha Bodi ya Barabara kujibu kero zilizopo akiwa kama Mwenyekiti
 Meneja wa Tan road Abrahamu Kishimbo akisikiliza kero zilizopo Mkoa wa Ruvuma Kuhusu Barabara
 Wajumbe wa Bodi ya Barabara Mkoa wa Ruvuma wakijadili Maendeleo ya Mawasiliano ya Barabara na Changamoto katika wilaya ya Tunduru na Namtumbo kuhusu barabara ambazo hazija Kamilika
 Chares Mhagama akisitiza kuhusu uharibifu wa Barabara pamoja na Kuvunja madaraja ya Njia ya Kitai Lituhi kunako fanywa na Magari ya Kampuni ya Kuchimba Makaa ya Mawe ya Tan Coal
 Mjumbe katika kikao cha ushari cha bodi ya Barabara Chares Mhagama akieleza hasara ya kuweza kuya Ruhusu Magari makubwa kutumia barabara zenye uwezo wa Tani 10 lakini Magari ta Tan Coal hubea mzigo wa Tani zaidi ya 45
 Wajumbe wa RCC wakuu wa wilaya wakisikiliza Maelezo kutoka kwa watoa mada kuhusu Maendeleo ya Mkoa wa Ruvuma pia Kuchanganua jinsi ya kuondokana na Tatizo la Soko la Mazao na Mgao wa Umeme katika Manspaa ya Songea yenye mahitaji ya MG 8
Naibu Mkurugenzi wa Tenesco Boniface Njombe akiwa katika kikao cha RCC akitoa maelekezo kuhusu changamoto zinazo likabili shirika la Tenesco katika kuwa hudumia wanchi wa Mkoa wa Ruvuma amesema Tatizo la Umeme katika Mkoa wa Ruvuma litaweza kutoweka Mwaka 2015 baada ya Mradi wa Umeme kuunganishwa kutoka Shilika la Masita wa Chipole ambao uta kuwa na uwezo wa MG 8 Pai baada ya kuunga nishwa na Umeme wa Taifa ukitokea Makambako

No comments:

Post a Comment