KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, January 9, 2014

POLICE RUVUMA WAWEKA MIKAKATI YA KULINDA USALAMA WAWASAFIRI

 Kamanda wa police mkoa wa Ruvuma Deusdedit Nsimike akimpongeza Meneja wa Sumatura kwa usimamizi mzuri wa safari za mabasi Mkoani Ruvuma
 Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Deusdedit Nsimike akiendelea kukagua Mabasi yanayo toka na kuingia Mkoani Ruvuma
 Kila Dereva wa Basi nilazima aonyeshe leseni ya Udereva iliyo halisi na siyo kivuli cha leseni ili kujua madereva feki wanao tumia nakala za wenzao
 Meneja wa Sumatura akisimamia utokaji wa Mabasi na kuhakikisha ratiba zinafutwa
 Hii ni kuhakikisha taratibu na kanuni za usalama barabani zina simamiwa vilivyo ili kupunguza Ajali za Barabarani
Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma akipokea Tarifa kutoka Inpekita Fadhili Chacha baada ya kukagua Mabasi ya Endayo Dar -es - Salaam ana kuwa himiza abiria kufunga mikanda na kukemea mwendo wa kasi kwa madereva

No comments:

Post a Comment