KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Monday, August 10, 2015

ENGLISH MEDIUM PRE AND PRIMARY ST. LAURENT HANGA YA FANYA MAAJABU KATIKA MAAFALI YA NANE WILAYA YA NAMTUMBO VIJIJINI

 Katika Maisha kitu cha kwanza ni kushukuru kwa kile ulicho pewa  Wenzetu wazungu hupendelea sana kutoa mauwa  na wengine kutoa keki na kuzima mshumaa , Kwa mwanafunzi wa Shule ya St Laurenti ya Hanga Secilia Alfred Ndomba ameweza kutoa shukrani kwa kumlisha Mwalimu wake wa darasa keki ikiwa ishara ya shukrani kwa malezi.
 Naye mwalimu pamoja na kufanya kazi kubwa ya kumpa elimu amewajibika kutoa Zawadi kwa Mwanafunzi  kuoonyesha kuwa Elimu aliyompa imeongeza Mahusiano kwani Mwanafunzi huyu alipo hamia shuleni hapo alikuwa Mwanafunzi wa Mwisho lakini sasa ana weza kupata makisi B hata A
 Mkuu wa Shule ya St Laurent Father Esabius Msomi akieleza Changamoto ya Shule amedai Wazazi wana shindwa kulipa ada ingawa wao hujitahidi kwa kiasi kikubwa kutoa Elimu iliyo bora na siyo bora Elimu,
 Hapo Brother Esabiusi Msomi akitafakari safari ndefu iliyo wakabili wana funzi wanao hitimu darasa la Saba
wajumbe wa kamati ya Shule ya St Laurenti  Wawakiwa na furaha baada ya kuona majukumu waliyo pewa wameyatekeleza wakwanza ni Matha Maongezi akiwa na mkuu wa Semenari ya Hanga i 
 Wageni kutoka nchini Italia wakiwa katika Maafali na kufurahia mchango wao wakujitolea katika elimu
 Wanafunzi wa darasa la Nne wakitoa ujumbe kwa wazazi wakuwa himiza kutoa Ada kwa Mda unao Takiwa ili wasiweze kuwa kwaza walimu wafanye kazi kwa Mori
 Aidha watoto hao waliweza kuimba nyimbo zinazo wakumbusha masomo waliyo jifunza kwa hali ya kawaida huwezi kuamini watoto hawa wana jifunza masomo yote kwa kingereza na hapo wana imba kwa lug'ha hihiyo
Tabasamu hilo ni wazazi kuridhika na kile wanacho kiona ikiwa na pamoja na ujasli unao onyeshwa na watoto katika Elimu
 Mmoja ya Wazazi walio Hudhuria kushuhudia Maafali wazazi hao wakichukua picha ili iwe kumbukumbu siku za baadaye
 Nyuso hizo za furaha ni kuhakikisha kuwa kila kinacho wakilishwa na wenzao wana kikariri Ndugu yangu kama darasa lime kupiga chenga basi ujue uta toka kapa kuanzia mwanzo wa Maafali Mpaka Mwisho ni Kingereza tu
 Hao hapo bwana wana pendeza kwa sura Mavazi na hata Elimu ni juu Makisi za mwisho shuleni hapo zinaishia c
 Wazazi wakiendelea kufaidi maonyesho mbambali yaliyo onyeshwa na watoto kwa uhimiri wa hali ya juu
 St Laurent ni shule yenye watoto wenye vipaji vya hali ya juu kama unavyo waona Hata wewe ukimuleta mtoto wako hapo utajikuta umetua mzigo wakuwa na Mtoto asiye na Elimu  isiyo Ridhisha
                                                                                Wazazi
               Watoto wa Darasa la Nne wakiwa karibu na Watoto wahitimu wa Darasa la Saba
 Wanafunzi wa Darasa la Sita wakishangaa jinsi wenzao wanavyo weza kukitafuna kimombo au kingereza
 Wahitimu wa Darasa la Saba kutoka shule St, Laurent wakijifikilia jinsi gani wataweza kujiendeleza baada ya kuhitimu darasa hilo la saba
 Kulikuwa na Pata shika kwa wandishi kupata picha zilizo bora ili ziwakilishwe katika vyombo vyao wapigaji wa picha za Video wakihangaika kupata picha bora
 Mmoja wa Mwanafunzi wa darasa la saba aliye vaa Miwani Secilia Afred Ndomba aliye Vaa Miwani akiwa Hajiamini kufikia darasa la saba kutokana na changamoto alizozipata wakjati akiingia shuleni hapo kwa kuwa mwanafunzi wa mwisho na sasa kushika nafasi za juu
 Mmoja wa Mwanafunzi wa darasa la saba aliye vaa Miwani Secilia Afred Ndomba aliye Vaa Miwani akiwa Hajiamini kufikia darasa la saba kutokana na changamoto alizozipata wakjati akiingia shuleni hapo kwa kuwa mwanafunzi wa mwisho na sasa kushika nafasi za juu
 wahitimu elimu ya msingi 2015 St. Laurent Hanga.
 Mmoja wa Mwanafunzi wa darasa la saba aliye vaa Miwani Secilia Alfred Ndomba aliye Vaa Miwani akiwa Hajiamini kufikia darasa la saba kutokana na changamoto alizozipata wakjati akiingia shuleni hapo kwa kuwa mwanafunzi wa mwisho na sasa kushika nafasi za juu
 Mmoja wa Mwanafunzi wa darasa la saba aliye vaa Miwani Secilia Afred Ndomba aliye Vaa Miwani akiwa Hajiamini kufikia darasa la saba kutokana na changamoto alizozipata wakjati akiingia shuleni hapo kwa kuwa mwanafunzi wa mwisho na sasa kushika nafasi za juu
 Katika hali ya kawaida hakuna haja ya kuwa na hofu kuhusu masomo ya sayansi kwa wanafunzi wetu watoto hao walio mbeleyako ni wana funzi wa darasa la nne lakini jinsi wavyo ijua Sayansi uta fikili wako kidato cha pili
           Mwanafunzi huyo akiwakilisha wenziwe kuelezea sayari zote zilizo kuwa duniani hapa
         Wahitimu wakiwa wametulia wakiwaangalia wadogo zao walivyo weza kulitawala jukwaa
 Wahitimu wakifuatilia kwa makini maagizo na wosia wa viongozi mbalimbali katika kuwasisitiza kutokubweteka na Elimu ya msingi.
 Watoto unao waona mbeleyako ni waislamu na wanasoma shule za misheni lakini katika shule hii ya St. Laurent ina eshimu taratibu za dini zote na watoto wenyewe wamekuwa Mashahidi
 Mwanzilishi wa shule ya St, Laurent Brother Augustino OSB akiwa na wajumbe kutoka wilaya ya Tunduru Meya mstahafu Nakanje
 Mwakilishi wa wazazi katika Maafali ya 8 ya shule ya St Laurent  Abrahamu Nakanje akiwahimiza waumini wa Dini ya Kiislamu kuleta watoto wao katika shule za Misheni kwani hivi sasa udini hautakiwi kinacho angaliwa ni watoto kupata elimu,Akitoa ushuhuda amesema yeye Mwenye watoto wake Watatu wame soma katika shule hiyo na sasa wako chuo kikuu
 Watoto walio hitimu Darasa la Saba wakipewa vyeti vya kuhitimu hapo mwalimu mkuu Brother Mosomi akipeana Mkono na Mwanafunzi Mhitimu
 Wanafunzi wa Darasa la Saba wakiwa na Furaha baada ya Kupewa Vyeti vya kuhitimu
 Urithi wa Elimu  huanza toka pale mtoto akiwa mdogo,  hapo mtoto akiwa amekuja kusherekea Dada yake kuweza  kufikia darasa la saba
 Secilia Alfred Ndomba akiwa na wadogo zake ambao walimletea zawadi dada yao kwa kuweza kuhitimu darasa la saba katika shule ya St Laurent inayo milikiwa na Shirika la Wabenedictin watawa wa kiume lililopo Hanga Namtumbo Vijijini
 Maula Chale na Secilia Alfred Ndomba akipokea Zawadi kutoka kwenye Familia Yake
 Secilia Alfred Ndomba akiwa na Dada yake Joice Pilikano ambaye ametokea Tanga na Kuja kushiriki Maafali ya Mdogo wake Mkoani Ruvuma
  Secilia Alfred Ndomba akiwa na Dada yake Joice Pilikano ambaye ametokea Tanga na Kuja kushiriki Maafali ya Mdogo wake Mkoani Ruvuma hapo ana onekana akitoa Zawadi kwa Mdogo wake
 Moja ya kumfariji Mhitimu ni kumvisha mashahada Mbalimbali hapo Secilia Alfred Ndomba akiwa ameng'aa kwa Mashahada
 Mwandishi wa Habari Judith Lugoye akimpongeza Mdogo wake kwa kuwa na uwezo wa kumili kusoma nje ya familia kwa muda wa Miaka saba na kufaulu vizuri
 Familia Mzima ya Secilia Alfred Ndomba wakiwa katika picha ya Pamoja wakwanza kushoto ni kaka yake Noeli Daniford Maongezi anaye fuatia ni Secilia Afred Ndomba aliye mkata mtoto ni jirani na anaye piga makofi ni familia ya Adam Nindi wamwisho ni Cesilia Mhamed na watoto walio vaa shweta la das ni mtoto wa Judith Lugoye ajulikanaye kwa jina la Helena Kayombo  pamoja na Mtoto aliye vaa gauni la Blue ni Hop Kayombo


 Wazungu kutoka Italia wakiwa katika Mafaali na Kushanga jinsi Waafrika wanavyo weza kumudu masomo mbalimbali hasa ya Sayansi
 Mwalimu wa St Laurent akionyesha furaha yake kuona watoto alio kuwa akiwa miliki wameweza kufanikiwa kumaliza masomo
 Secilia Alfred Ndomba akitoa shurani kwa kumlisha kaka yake Noeli keki kuonyesha upendo alio kuwa nao
 Secilia Alfred Ndomba akiendea kuonyesha upendo kwa ndugu zake hapo anampa keki dada yake Joicy Pilikano
 Kila penye furaha huonekana vitu kama hivi, Mtoto wako akifanya vizuri hahitaji zawadi ya kutisha hata keki ina tosha bora uandike jhina lake kama inavyo onekana keki hii
Miongoni mwa vipaji vya watoto wa shule ya St. Laurent ni pamoja na sanaa na michezo unaowaona hapo ni Waimba Mashairi kutoka St. Laurent.
 Wanafunzi wakiwakilisha masomo ya Sayansi, watoto hao ni mktaba ya sayansi usiombe kuwachokoza uta aibika.
 Mtoto anaporomoka na kimombo kuufahamisha umma jinsi anavyoweza kutawala masomo ya Sayansi
 Mgeni rasimi katika Maafali ya shule ya St Laurent ambaye alimwakilisha mkuu wa wilaya ya Namtumbo Mh. Maxmilian Komba akiwahimiza Wazazi  kutoa urithi wa elimu kwa Watoto wao.
 Mjumbe wa Bodi ya Shule ya St Laurenti Martha Maongezi akiwa na Rafiki yake katika kumpongeza Mtoto wao Secilia Alfred Ndomba kumpa zawadi kwa kuhitimu Elimu ya Msingi.
 Viongozi waandamizi wa Shule ya awali na msingi ya St. Laurent wakiwa wamesimama wakati wa kutoa vyeti kwa wanafunzi 61 waliohitimu Elimu ya Msingi 2015
 Hazina kuu ya watawa wa Abasia ya Hanga FRT. Augusitino OSB Mwanzilishi wa Shule ya St Laurent Hanga  Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma.
 Motisha ya mtoto katika kumfanya afanya vizuri katika Elimu ni kutoa motisha kwa mtoto pale anapofanya vizuri. Hapo ni mama mdogo wa Secilia Alfred Ndomba Bi Martha Maongezi na kulia ni Dada wa Secilia Alfred ndomba Bi Joyce Pilikano wakimpongeza kijana wao ili kumtia motisha aongeze bidii na kufaulu katika mitihani yake ya kumaliza Elimu ya Msingi inayptarajia kufanyika oktoba 9 na 10 mwaka huu.
 Bi Martha Maongezi na Rafiki yake wakimshangilia kijana wao Secilia kwa kumaliza salama Elimu  ya Msingi.
 Kaka wa Secilia Alfred Ndomba Bw. Albano John akimpongeza dada yake kwa kuhitimisha.
 Desturi ya watanzania na waafrika kwa ujumla ni kupongezana pale unapofanya suala la mafanikio, imezoeleka kutumia chakula aina ya keki kama ishara ya upendo, hapo familia ya Secilia Alfred Ndomba ikiwa imeandaa Keki maalumu kwa lengo la kupongeza kijana wao kwa kufanikiwa kufikia hatua ya kuhitimu Elimu ya Msingi. Pichani ni dada wa Secilia Alfred bi Joycy ( Mrs Msabaha) akikata keki tayari kwa kumpa mdogo wake awalishe anaowapenda.
 Secilia Alfred Akimlisha Keki Mwalimu Mkuu wa Shule ya St. Laurent FRT Esabius Msemwa ikiwa ni ishara ya kutambua mchago wao katika shule kwa kumuwezesha kumtoa kwenye ujinga na kufikia katika mafanikio ya kuhitimu hiyo ni ishara ya shukrani kwa walezi wa St Laurent kwa Malezi na Elimu bora aliyoipata shuleni hapo. Nyuma ni Mjumbe wa Bodi ya Shule Martha Maongezi akishuhudia tukio la kihistoria.
 Upendo ni zawadi kutoka kwa mungu sio kila mmoja mwenye upendo Secilia akionyesha Shukrani kwa kumlisha keki Mama wa Hiari Maula Chale kwa kutambua mchango wake na namna alivyomthamini kwa kujua umuhimu wa elimu na mafanikio katika elimu ameweza kujitoa na kuungana sambamba na familia yake katika kusherekea tukio la kihistoria la kumaliza elimu ya msingi.
Keki maalumu iliyoandaliwa na Mama Mzazi wa Mwanafunzi Secilia Alfred Ndomba Mama Bridither S. Maongezi ikiwa ishara ya kumpongeza kwa mafanikio ya kuhitimu Elimu ya Msingi katika Mahafali ya 2015 St. Laurent Hanga Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma.

No comments:

Post a Comment