KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Friday, August 5, 2016

MKUU WA MKOA WA RUVUMA BINILITH SATANO MAHENGE ATOA UHALISIA WA MAHINDI TANI 90 PIA AKUTANA NA MWENYEKITI WA WAFANYA BIASHARA MKOA WA RUVUMA,PIA AKUTANA JA JAJI MFAWIDHI WA MAHAKAMA KANDA YA SONGEA

 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr Binilith Satano Mahenge akiongea na Mfanya biashara Marufu Mkoani Ruvuma Issack Mwilamba mambo mbalimbali ya kuweza kuongeza uchumi wa Mkoa wa Ruvuma ikiwemo kilimo na bisara zingine
 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akimpokea Mfanya biashara Marurufu Issack Mwilamba alipo kuja kuji tambulisha ofisini kwake
 Jaji Mfawidhi wa Mahakama kuu ya kanda ya Songea Mh.Beatrice Mutungi akiwa na Mkuu wa Ruvuma Dr Binilith Satano Mahenge Ofisini kwake
 Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Ruvuma wakiwa kwenye kikao na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Ikulu Ndogo
 Viongozi Mbalimbali wakiwa kwenye kikao cha kuangalia Mipango mbalimbali ya Maendeleo Mkoa wa Ruvuma
 Wahandisi wa Mkoa wa Ruvuma wakiwa katika kikao na RC wa Mkoa wa Ruvuma
 Wadau kutoka Tunduru Songea Namtumbo ,Nyasa,Namtumbo,Tunduru na Mbinga wakisisiliza maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr Binilith Satano Mahenge
 Viongozi wa Idara Mbalimbali Mkoa wa Ruvuma wakiwa katika kikao cha kujadili Maendeleo
 Wahandisi wa Miundo mbinu ya Barabara wakijiandaa kuwakilisha tarifa za Miundo mbinu ya Barabara na Changamoto zinazo wakabili

                           Wakuu wa idara Mkoa wa Ruvuma wakiwa ikulu ndogo Mkoani Ruvuma
 Wakuu wa Idara kutoka Halimashauri ya Wilaya ya Madaba wakisikiliza Maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kuhusu jinsi ya kuondoa changamoto zinazo wakabili wanchi katika Maeneo yao
Wajumbe kutoka wilaya ya Nyasa ambao wamepewa Agizo na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr Binilith Satano Mahenge kuhusu mahindi tani 90 zilizo kwama ku siku to kuwa sambazia wananchi zisambazwe ndani ya

No comments:

Post a Comment