KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, June 14, 2014

UHAMIAJI WA ASWA KUJIEPUSHA NA ANASA


Mkuu wa Wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti amewataka Watumishi wa Idara ya Uhamiaji kuepukana na Rushwa, pamoja na kuepuka Tamaa ambayo inaifanya Nchi kuporomoka kimaendeleo  ..
Mkuu wa Wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti ameyasema hayo katika Semina ya Upimaji wa Afya za Watumishi wa Idara ya Uhamiaji na Familia zao.

Afisa Uhamiaji Mkoa wa Ruvuma akimkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiri tayari kwa kushiriki upimaji wa hiari wa virusi vya ukimwi

Afisa Uhamiaji Mkoa wa Ruvuma Kokwi Lwebandiza amesema Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma wameisaidia Idara yake kuwavumbua wahamioaji Haramu, jambo ambalo limepunguza kuingia kwa Wahamiaji Haramu kutoka 200 hadi sasa imekuwa ndoto.
Viongozi mbalimbali wa ngazi za juu wakisikiliza kwa makini jinsi ya kuepukana na maambukizi ya VVU na UKIMWI mjini Songea
Maandamano ya kuhamasisha familia ya Uhamiaji Mkoani Ruvuma kupima kwa hiari ili kujua Afya zao pichani Mkuu wa Wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti katikati na kushoto kwake ni Afisa Uhamiaji Mkoa wa Ruvuma Kokwi Lwebandiza
Mwakilishi wa Mkuu wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Kushoto George Chiposi akiwa na Afisa Usama Mkoa wa Ruvuma kulia

Mkuu wa Wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu , amesema Idara ya Uhamiaji ni tigemeo la  Taifa la Tanzania, kwani wao ndio wanaounganisha mahusiano mazuri  na Nchi nyingine, kuepuka Masuala ya Rushwa ni njia moja wapo ya kutangaza Uadilifu wa Watanzania. Ni juu ya Idara ya Uhamiaji kuepuka Tamaa zinazoweza kuondoa heshima ya taifa la Tanzania.
Maandamano ya upimaji wa Hiari ya kiingia katika Viwanja vya Angoni katika Manspaa ya Songea
Familia za Uhamiaji wa Mkoa wa Ruvuma wakishiriki semina ya upimaji wa hiari wa VVU na UKIMWI Mkoani Ruvuma
Familia ya wafanyakazi wa idara ya Uhamiaji wakliwa katika semina ya upimaji wa hiari kuhusu Afya zao
Afisa uhamiji  Shabani akiongoza Maandamano kutoka jengo la Uhamiaji hadi uwanja wa Angoni Songea

Nao akinamama walio kuja kushiriki upimaji wa hiari kwa watumishi wa idara ya uhamiaji wameomba zoezi la hilo lifike hadi kwa watoto wa familia ya uhamiaji.
 Siku ya Upimaji wa Afya ya Wafanya Kazi wa Idara ya Uhamiaji ililenga kujua Magonjwa ya Saratani,  Maambukizi ya VVU/UKIMWI na Presha.
Afisa Usalama Mkoa wa Ruvuma Akisikiliza kwa makani Mada za kuepukana UKIMWI na VVU

No comments:

Post a Comment