KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Sunday, June 1, 2014

MAMA MZAZI WA ZITO KABWE AFARIKI DUNIA, MUNGU ALITOA NA MUNGU AMECHUKUA

Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Tanzania, (Chawata), Shida Salum, ambaye pia ni mama mzazi wa mbunge wa Kigoma Kaskazini,Zito Kabweamefariki dunia baada ya kumwa kwa muda mrefu,

 . Alianza kusumbuliwa na maradhi hayo mapema Agosti mwaka jana lakini hali yake ilibadilika mapema mwaka huu akiwa mjini Dodoma akisubiri kuapishwa pamoja na wajumbe wengine wa Bunge Maalumu la Katiba.

kilicho baki kwa watanzania hivi sasa ni kuhakikisha tuna enzi kazi zote alkizo zifanya na zile alizo ahidi kuzitekeleza, Kwa ujumula Watanzania wamepoteza mama mwenye upendo kwa kila mmoja mama Zito alikuwa hana hitikadi ya Chama wala Dini,Ina lilahi waina Rajuni [Sisi ni wamwenyezi Mungu na kwake tuta rejea

No comments:

Post a Comment