KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, June 7, 2014

UMEME WA NUKIA SONGEA VIJIJINI AMBAO UNA TARAJIA KUANZA KUTUMIKA MWEZI WA NANE MWAKANI

 Shirika la Tanesico Mkoa wa Ruvuma Likishirikiana na Kampuni ya Lanka Trasfomer Limited [LTL ] kutoka Sirlanka limeanza mradi wa kupeleka Nguzo za umeme Songea vijijini  kwa kupeleka nguzo zipatazo 1500 kati ya nguzo 12,000 zinazo tarajiwa kusambwazwa hapo wa talamu kutoka Sirlanka aliye vaa shati ya blue kutoka kulia ni Maduranga Bandara ,anaye fuata Rajabu Mrope watatu ni Thadei Jarome wanne kutoka kulia ni Injia Jagath Nisantha wapili kutoka kushoto ni meneja wa TANESCO  Mkoa wa Ruvuma Frances Maze na wa kwanza kushoto ni Sampath Bandara kutoka sirlanka
 Unazo ziona ni Nguzo za Umeme ambazo zimeanza kusafirishwa kwenda vijijini hapo Nguzo hizo zina Teremshwa katika kijiji cha Magagula Songea Vijijini
 Vjijana Mkoani Ruvuma ambao wana nufaika na Mradi Usambazaji Nguzo za Umeme Vijijini wakifurahia Ajira Mpya
 Wakati mwingine unaweza kutumia akili na kazi ikaenda Vijana hao hapo wametumia njia za asili katika kuteremusha nguzo za umeme baadala ya kutumia Mashine za Umeme angalia huo utaalamu
 Wakandalasi kutoka kutoka Sirlanka wakisimamia zoezi la Ushushaji Nguzo za umeme katika kijiji cha Magagula Songea Vijijini

 Hali halisi kabula ya Nguzo kuteremushwa kijiji Magagula ,Mradi wa REA[Rural energy agence] Umeme vijijini
 Gari likisafirisha nguzo za umeme wa mradi wa Umeme vijijni REA  Mradi huu mpaka kukamilika uta weza kugharimu kiasi cha shilingi bilioni 30 kwa frdha za kimarekani ambao uta chukua miaka miwili


 Meneja wa Tanesco Francis Maze akifanyamawasiliano kujua Gari la Nguzo liko sehemu gani ,katika kudhibiti wahujumu uchumi .wanao taka  kulihujumu shirika la Tanesco

No comments:

Post a Comment