KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Tuesday, July 1, 2014

JENGO LA MTANDAO WA POLICE WANAWAKE LA KAMILIKA MKOANI RUVUMA

Mwenyekiti wa Dawati la Mtandao wa Police wanawake Anna Tembo na Makamu wake wa Police wanawake Mkoa wa Ruvuma Fadhila Chacha wanawashukuru wadau wote walio shiriki kuchangia jengo hilo shukurani zaidi ziende kwa wafanyabiasha walio jitolea kwa hali na Mali
Tumeweka Picha Nyingi ili ulione jengo kila upande na ulione lilivyo, Chamsingi nikuona umuhimu wa jengo na kufikisha kero za wanawake na watoto pamoja na kero za wanaume
uboreshaji wa upakaji rangu umetokana na kampuni ya Isaaca Mwilamba anasitahili hongera kwa upakaji wa rangi
Huwezi kuamini kama ni mchango wawananchi ulio fanikisha ujenzi huu swala hili liliwezekana wakati wa Nyerere lakini nilicho gundua watu wanashindwa kuchanga kutokana na fedha zao kuliwa pasipo kuonyesha maendeleo ya sababu za kuchangia
Mwewnyekiti wa Police wanawake Anna Tembo na Makamu Mwenyekiti Fadhila Chacha mdau Judith Lugoye na Mhudumu wa Jengo Ayubu kulia
Vijana wapakaji wa Rangi wakigawana Pato la Upakaji Rangi ni vijana Wadogo tu lakini kazi yao inaridhisha
Ndugu zangu moyo wawatu wenye huruma huwa kwa wanyonge tunao sema matajiri wa Roho ndio walio changia jengo hili kwa kuhurumia wanawake na watoto pamoja na wanaume wanao nyanyaswa kisailokojia

No comments:

Post a Comment