KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Sunday, July 20, 2014

WAJUE WAANDISHI WA HABARI MKOA WA RUVUMA

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho  kikwete akiwa katika maongezi na wandishi wakongwe wa mkoa wa Ruvuma aliye vaa shati la mistari ni Juma Nyumayo na aliye Vaa suti ya Bluu ni Mkurugenzi wa Blog ya Songea Habari na Mwandishi wa Star Tv Adamu Mzuza Nindi
Mkoa wa Ruvuma Takilibani uana Wandishi wa Habari wapatao 40 hao niliowaweka hapo ni wale ambao niliwapata ni kiandika Habari hizi endapo uta ataka kujua zaidi tarifa za Mwandishi yeyote yule una weza kuwasiliana nami kwa namba za simu zilizopo hapo juu ya Blog ya Songea Habari, Kazi inayo fanyika mkoa wa Ruvuma hazina Mficho endapo uta taka kupata habari Mkoani Ruvuma wasiliana na wanahabari waliopo RUVUMA
Swimming pool iliyopo katika  ukumbi wa Dodoma Hoteli uliopo Dodoma, Mwandishi Judith Lugoye wa Fikira Pevu akivinjari katika ukumbi huo
Mwandishi wa habari wa Firira Pevu Dar -es-Salaam Judith Lugoye akiwa katika kumbi za Mwalimu Nyerere Dar -es - Salaa
Waandishi wa Habari Mkoa wa Ruvuma wakichukua Matukio kwa ajili ya Tv Kutoka kushoto ni Emanuel Msigwa wa Chaneli 10 anaye fuatia ni Gersoni Msigwa wa TBC One anaye kuatia watatu kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Star tv na ni Mkurugenzi wa Blog ya Songea Habari Adamu Mzuza Nindi wa mwisho ni Joseph Mwambije wa ITV Mwishoni ni mwakilishi wa Radio Jogoo Tamimu
Wandishi wa Hahabari Mkoa wa Ruvuma wakipokea Tarifa ya Ziara ya Rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete kutoka kwa mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Thabiti Mwambungu
Mkurugenzi wa Blog ya Songea Habari Adamu Mzuza Nindi akiwa na Waziri wa Ujenzi John Mapombe Magufuli akipewa habari jinsi Serekari ya Jamuhuri ya Mungano ilivyo jidhatiti kuimarisha miundo mbinu ya Barabara Nchini Tanzania
Katibu Msaidizi wa Ruvuma Press Club Julius Mosses Konara ambaye pia ni Mwandishi wa Gazeti la Mtanzania Daima
Mwandishi wa Habari wa TBC Taifa au (sauti ya Radi ) Gerson Msigwa
Nathani Mtega Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Nipashe na Radio One Mkoani Ruvuma
              Cresensia Kapinga Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Majira Mkoani Ruvuma
                          Mwandishiwa Habari wa Radio Free Africa Ngaiwona Mkondora
                           Mwandishi wa Habari Gazeti la Majira Ruvuma Andrew Mhaiki
                      Mwandishi na Mtangazaji wa ITV Ruvuma Joseph Mwambije
                             Catherin Nyoni aliye vaa miwani  Mwandishi na Mtangazaji wa TBC One
                           Emanuel Msigwa Mwakilishi wa Chanel Ten Mkoani Ruvuma
                        Amoni Mtega Mwakilishi wa Gazeti la Mtanzania Mkoani Ruvuma
                                Mwandishi wa Radio Jogoo Tamimu Adamu
    Mkurugenzi wa TBC Kanda ya Songea na Mtangazaji wa TBC One wa Mkoa wa Ruvuma Anna Mayige
                     Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi Mkoani Ruvuma Joice Joliga
Upendo ni kitu Mhimu katika Familia ya Mkurugenzi wa Blog ya Songea Habari akiwa katika Sherehe ya Kuzaliwa kwa Mtoto wake Nuru Nindi hapo mkewe Mwandishi wa Habari  Maula Chale Akiwasha Mshumaa kuonyesha Upendo Kwa Mtoto wao
Mkongwe wa Habari Adamu Nindi Akiwa amekaa na Familia yake Nyumbani kwake Mjimwema manspaa ya Songea
Mwandishi wa Habari Adamu Nindi akiwa kazini  Uwanja wa Majimaji wakati wa Ziara ya Rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete
Familia ya Mwandishi wa Habari Adamu Mzuza Nindi Nyumbani kwake Mjimwema Manspaa ya Songea
Mwandishi wa habari Adamu Nindi akiwa katika Mkutano wa Kimataifa Dar - es - Salaam ni watano kutoka kulia mstari wa Pili
Mwandishi wa Habari Adamu Nindi akiwa Arusha katika mkutano wa kimataifa  katika ukumbi wa AICC ni wanne kutoka kulia
Mwandishi wa Habari Gidioni Mwakanosiya aliye beba Begi  na amevaa miwani akiwa kazini kutafua Habari
Mwandishi wa Habari Adamu Mzuza Nindi aliye kaa  akiwa Kazini kutuma Habari Vyombo Mbalimbali Nchini Tanzania
                Mwandishi wa Habari wa Fikira Pevu kutoka Mkoa wa Ruvuma Judith Lugoye
Mwandishi wa Habari na Mtangazaji Adamu Nindi akiwa na jamii ya kimasai katika Ukumbi wa AICC Arusha akipata uhalisia wa Jamii ya Wafugaji
Mwandishi anatakiwa kuji nchanganya ili kujua Desituri na Taratribu za Makabila Mengine hivyo ndivyo anavyo fanya Mwandishim huyu kabula la Wafugaji ni watu wakarumu sana. Hizo ndizo kazi zinazo fanywa na wandishi wa Mkoa wa Ruvuma

No comments:

Post a Comment