KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Tuesday, July 1, 2014

KILINIKI NI WAJIBU WA MAMA NA BABA KUMWACHA MAMA KWENDA KILINIKI PEKEYAKE NI MFUMO DUME

 kazi ya kupeleka watoto kiliniki kwa mazoea ni kazi ya wanawake lakini hayo ni mawazo potofu kazi ya kujua fya  mtoto ni kazi ya mama na baba hapo mkurugenzi wa Songea Habari Adamu Mzuza Nindi akiwa kiliniki akiwapeleka watoto wake mapacha Hasani NAhusuna
Kujua utizo wa mtoto kuna kusaidia kujua ufanye nini ili mtoto wako awe naafya nzuri hapo hasani na husuna wakipima uzito
Mama watoto wa Mkurugenzi wa Blog ya Songea Habari Maula Chale akitoka ndani baada ya kuhudhulia kiliniki ya mji mwema
Hasani Mzuza Nindi akipima uzito katika kiliniki ya Mji Mwema Manspaa ya Songea
Muguzi wa Kituo cha Afya cha Mji Mwema akitoa maelekezo ya jinsi kutunza Watoto na kuwapa lishe bora
Jambo la ajabu ni kukosekana kwa wanaume kiliniki kati ya akina mama 1000 walio hudhulia ni wanaume 2 tu ndio walio hudhulia kiliniki,Nijuu ya wanaume kukomesha mufumo huu dume ni wajibu wetu wote kushiriki kiliniki ili tutatue mapungufu yanapo bainika

1 comment: