KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Friday, March 6, 2015

MWANDISHI WA HABARI FATUMA GAFUSSI AFARIKI DUNIA AKIWA MKOANI DODOMA

 Nimeweka picha mbili za kutoka makitaba ya Songea Habari Blog ili uweze kuona Marehemu Fatuma Gafusi aliye katikati ambaye afariki akiwa Dodoma, Fatuma Gafusi alikuwa Mwandishi wa Habari wa Star Tv na Radio Free afirika amefariki kwa ugonjwa wa  Moyo au Shindikizo la damu 5/3/2015 Mwenyezi Mungu aiweke Roho yake Mahali Pema Peponi Amina
Fatuma Gafusi  aliye katikati alikuwa mtetezi wa haki za Mama na Mtoto pia alijiunga na TGNP Katika kutetea haki za Wanawake Fatuma Gafusi kabla ya Kufari aliweza kujiunga na GEMSA Mtandao wa waandishi wa Habari wa afirika Mashariki na ya kati,Bwana alitoa na Bwana ametwaa

No comments:

Post a Comment