KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, March 7, 2015

UHARIBUFU WA MAZINGIRA UNATOKANA NA WATU WENYE VYEO KUFUMBIWA MACHO MKOANI RUVUMA BILA KUCHUKULIWA SHERIA ZA KINIDHAMU


Moja ya mambo ambayo huleta madhala katika jamii ni pamoja na kukunja sheri pale wakubwa wanapo kosea, Kwa mfano Idara ya Mistu kazi yake ni kulinda Mistu lakini wanapo bahatika kumkamata mhalifu hasa kizitokumchukulia sheria ina kuwa ngumu hebu angalia miti hii iliyo katwa kabla ya kukomaa ambayo ingeweza kutoa mbao mzuri hapo baadaye, aliye kamatwa anawaka kamambogo jee hii ni halali. Nenda pale misitu wlaya utikuta hiyo miti uliza kwa nini ipo hapo jibu utakalo pata ni kuwa katisha taami waaa wafanyakazi wa sekita ya Mistu
 Huu ni mmoja ya mikaa iliyo shikwa na wafanyakazi wa Maliasili ikiwa Wilayani Songea na wenyewe wakiwa wame kimbia

Wafanyakazi wa Mistu mkoa wa Ruvuma wanajitahidi kufanya doria la mara kwa mara lakini uhalibifu unao tokana na Moto ni Mkubwa sana, Hebu angalia Uchomaji wa Mkaa unavyo asili Misitu. Mkaa huo wote unao onekana umekamatwa na wachomaji mkaa wote wamekimbia jee kwa hali hii mistu ita pona
Uchomaji huu wa Mkaa hau fuati Taratibu hata miti midogo huchomwa moto ukienda Porini hivi sasa hata Mwembe wana choma Mkaa ,kwa hali hii wewe na mimi tuna saidia vipi

Baadhi ya wanchi walio kuja kuangalia miti inayo katwa ovyo na mkaa unao chomwa bila kufuata sheria.watu hao walio shuhudia uhalibifu huo wamesema imefika wakati sasa kwa wananchi kutoa tarifa kwa wale wote wanao choma mistu na kusababisha hasara kwa wananchi

No comments:

Post a Comment