KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, March 14, 2015

MTOTO WA KIKE AOMBA MSAADA WA KUENDELEZWA ENYI WASAMALIA WENYE MOYO WA MUNGU AKIWEMO MAMA SALIMA KIKWETE.MKAPA FOUNDATION NA WATANZANIA WOTE


MAOMBI YA MSAADA WA KUSOMESHWA (KUENDELEZWA KIELIM

Ndugu GABRIELA  NGONYANI anaomba msaada wa kusomeshwa Elimu ya Sekondari Form Five na Six.

Mtajwa mwenye jina la hapo juu, ni mwanafunzi aliyehitimu Kidato cha Nne  katika Shule ya Sekondari ya St Agness Chipole Songea Vijijini na kupata Ufaulu wa Daraja la Pili (Division Two)

Gabriela Ngonyani ni Mtoto Yatima hana Baba wala Mama hata ndugu wa karibu wa kuweza kumsaidia hayupo, Kwani hata kufikia Elimu ya Kidato cha Nne alipata Ufadhili wa wasamalia wema na sasa anachoomba ni kuendelezwa Kidato cha Tano na cha Sita.

Maendeleo yake kitaaluma toka awali ni Mazuri na ana Ufaulu nzuri wa Masomo ya Sayansi.


MATOKEO NI KAMA IFUATAVYO. CIV-C, HIST-B, GEO-B, ENGL-B, NUTRITION-B, KISWAHL-B, CHEMIST-C, BIOS-C, MATH-E, Kwa yeyote atakayeguswa na Taarifa hii anaombwa Msaada wa Hali na Mali ili Kumuwezesha Binti huyu kutimiza Ndoto zake na Mungu atakubariki.

Kwa Mawasiliano piga Simu No: 0755 731234 / 0672 527377 /0755 061588

No comments:

Post a Comment