KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Sunday, March 1, 2015

TCRA YA WASHA MTAMBO WA DIGTAL SONGEA


Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabiti Mwambungu amewataka Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma kuchangamkia fursa zinazotolewa na Serikali ikiwemo fursa ya kupata Mawasiliano.


Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu ameyasema hayo wakati akizindua  Mtambo wa Star Times ambao umeshirikisha Ubia na TBC , amesema kutumia Technologia ya kisasa kuna mpunguzia Mwananchi kutumia vifaa vizito kwa kuwa technologia ya kisasa inakufanya kutumia vifaa ambavyo havina uzito huku ukipata mawasiliano Dunia nzima.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu ameipongeza Mamlaka ya Mawasilino Tanzania TCRA kwa kutimiza leongo la kuifikia Mikoa 20 ukiwemo Mkoa wa Ruvuma, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu katika Hotuba yake amepongeza Makampuni matatu ambayo yameonyesha nia ya kusaidia Wananchi ikiwemo TIN, Star Time na Star Media,mkuu wa mkoa said thabit mwambungu alionyesha mfano kwa kuweza  kununua king`amuzi cha

Habbie Gunze  mkurugenzi wa utangazaji TCRA Habbi Gunze amewataka Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma kuondoa hofu ya uzimwaji wa Mitambo ya Televisheni ya Analogia haina maana itawaletea hasara lakini wategemee faida kubwa kuliko hapo zamani.

Faida za digital alizitaja nyingi zaidi ya kuwa na picha na Sauti bora. Rejea kipeperushi kwa faida zaidi. Hapa Gunze alisema pamoja na picha na Sauti; digital itawezesha upatikanaji wa Huduma za ziada mathalan kutuma pesa kupitia tv zao.

Habbie Gunze  mkurugenzi wa utangazaji TCRAamesema Serikali imejitahidi kujiandaa kwa kuwa na ving`amuzi vingi vya kisasa vitakavyoweza kumudu matumizi kwa wananchi wote Mkoani Ruvuma na Tanzania nzima, Makampuni ambayo yamekuwa tayari ni pamoja na Star Media, (ISahara Communication ) , Agape Associated LTD na Basic Transmission  Limited.


Habbie Gunze  mkurugenzi wa utangazaji TCRA  amesema Juhudi zinafanywa ili Watanzania wote watoke kwenye Analogia na kuingia kwenye Digital, Mpaka sasa Mikoa iliyobaki kukamilisha zoezi hilo ni Mtwara na Lindi.

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabiti Mwambungu amewataka Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma kuchangamkia fursa zinazotolewa na Serikali ikiwemo fursa ya kupata Mawasiliano.
            Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu ameyasema hayo wakati akizindua  Mtambo wa Star Times ambao umeshirikisha Ubia na TBC , amesema kutumia Technologia ya kisasa kuna mpunguzia Mwananchi kutumia vifaa vizito kwa kuwa technologia ya kisasa inakufanya kutumia vifaa ambavyo havina uzito huku ukipata mawasiliano Dunia nzima.
            Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu ameipongeza Mamlaka ya Mawasilino Tanzania TCRA kwa kutimiza leongo la kuifikia Mikoa 20 ukiwemo Mkoa wa Ruvuma, Mkuu wa Mkoa w2a Ruvuma Said Mwambungu katika Hotuba yake amepongeza Makampuni matatu ambayo yameonyesha nia ya kusaidia Wananchi ikiwemo TIN, Star Time na Star Media,mkuu wa mkoa said thabit mwambungu alionyesha mfano kwa kuweza  kununua king`amuzi cha Continental    
Waandishi wa vyombo mbalimbali wakiwa kazini kuhakisha habari zina wafikia wananchi wa kwanza kushoto ajaofrery Nilahi  anaye fuata Hamza Hamuza wa TBCI  anaye fuata Afisa Maelezo kutoka DSM Dada Mary Shayo wa mwisho Judith Lugoye
Habbie Gunze  mkurugenzi wa utangazaji TCRAamesema  Faida ambazo zitapatikana kwa Mwananchi wa kawaida ni kupata Mawasilino ya TV bila chenga  na uangavu  wa kutosha, pia  kupitia Televishen wananchi  hapo baadaye wanaweza   kutuma pesa kwa njia ya Televisheni zao

Habbie Gunze mkurugenzi wa utangazaji TCRAamesema mwisho wa kutumia mitambo ya Analogia ni Much 17 Mwaka huu, Mikoa ambayo ilikuwa haijazima Mitambo yake ifanye haraka kabla ya Much 17 Mwaka huu.

Mwakilishi wa Continental ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wa Sahara Media, Adam Nindi alieezea ubora wa Matumizi ya Ving`amuzi vya CONTINENTAL  na kumuhakikishia kuwa Continental ina Chanel 22 ambazo zinapatikana bila usumbufu

Kaimu Katibu Mtendaji Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano, Bi Mary Msuya  aliye mbele amesema Wananchhhi wanatakiwa kufahamu tofauti  ya Mitambo ya Ardhini  pia wanapo nununa vingamuzi ni lazima wapate lisiti
Mary Msuya alisisistiza wananchi kununua ving'amuzi kwa mawakala walioidhinishwa na wahakikishe wanapatiwa risiti na warranty usiopungua chini ya miezi 12. Hii ni kumlinda mnunuaji endapo king'amuzi kitakuwa na matatizo atakirudisha kwa wakala na kitatengenezwa au kutolewa kingine bila gharama kwa mnunuaji.


Mkurugenzi wa TCRA Habbi Gunze amewataka waandishi wa habari kujiunga pamoja na kuweza kutengeneza vipindi mbalimbali vya kuweza kuelimisha wananchi ikiwemo Elimu,Afya,Ujasiliamali
Mkurugenzi wa TCRA Habbi Gunze akiwa na waandishi kutoka songea aliye shika beg ni Judith lugoye

Katibu wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Ruvuma Andrew Chatwanga aliye kushoto  amewashukuru Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA  kuboresha huduma za mawasiliano na nakumpunguzia wananchi wakawaida garama za mawasiliano
Afisa kutoka Maelezo dada Mary Shayo akishuhudia uzinduzi wa Mtambo wa Digtal  wa Star Times wa kishirikiana na TBCI

No comments:

Post a Comment