KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, March 5, 2015

TANZANIA INA INGIA KWENYE UCHAGUZI MKUU MWAKA HUU JEE WATANZANIA WAPO KATIKA MAOMBI YA KUTAKA KUPATA RAIS MWENYE KUFUATA MAADILI YA UONGOZI ?


Ndugu mtanzania ni wakati mgumu wa kuweza kutoa maamuzi ya kisiasa kuhusu hatima ya nchi ya Tanzania
Niwakati mgumu kutokana na viongozi wengi wanao taka madaraka wengine nia yao ni kuongoza watanzania katika matumaini na kuwapeleka katika utulivu na amani.wengine wanagombea ili kutunisha mifuko yao,


Katibu wa chama cha mapinduzi Taifa Abrahamani Kinana amekuwa msitari wa mbele kuhakikisha wana CCM hawaingii katika tama ya uongozi jee watanzania tufanyeje ili lile linalo zungumuzwa na viongozi tuna lifuata.


Hapa Sipika wa Bunge Mh, Anna Makinda  akisalimiana na wana CCM Jee hali kama hiyo haipendezi kwa watanzania tufanye juhudi kulinda matunda haya
Mfanya bishara Mashuhuri akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama Abrahamani Kinana katika uwanja wa Ndege Luwiko Songea,
Nimoja ya Mioyo Mizuri ya kulinda demokorasia kuwa jali watu wa chini ndiyo fundisho analo toa Katibu Mkuu wa CCM Abrahamani Kinana


Hebu tuone hawa  hapa ni viongozi ambao waliacha shuguli zao na kukimbia kuja kumuzika mwenzao Cap John Damiani Komba, jee kuna uwezekano wakuendelea katika iti kadi hiyo ?

Afisa Biashara Manspaa ya Songea Mohamed Challe akipeana Mkono wa Heri na Waziri Msitahafu Edward Luwasa katika uwanja wa Ndege Songea
Nikazi ngumu kwa viongozi wanapo fika kusalimiana na kila aliye mbele yake lakini hiyo inatokana na jinsi unavyo jituma kwa watu ndivyo ilivyo kwa Waziri Mstahafu Edward Luwasa
Vijana wa Chipukizi hawa kuwa mbali na kiongozi wao Waziri Mkuu Mstahafu Edward Luwasa kila mmoja alitaka kuushika mkono wake


Waziri mkuu mstahafu Edward Luwasa amekuwa akionyesha mfano wa upendo kwa watanzani hii ni mara ya pili kuja kushiriki shuguli za kijamii tarehe mosi mwezi wapili alikuja kushuhudia miaka 38 ya CCM sherehehe zilizo fanyika mkoani Ruvuma pia katika mazishi ya Cap John Komba amekuja kwa ndege ya kukodi, uzalendo huo tunauonaje ?

Nema kwa wanachi wa Mkoa wa Ruvuma kusalimiana na kiongozi wanaye mpenda mwenye kujali watu enzi zake, shukurani za wana ruvuma ni kupeana naye mkono
Kijana Machachali wa CCM akiwa na Furaha kuona lengo lake la kuonana na waziri Mstahafu Edward Luwasa lime timia, alisikika akisema nilazima niende uwanja wa Luhuwiko ili ni mlaki  Edward Luwasa
Katibu wa CCM Abrahamani Kinana akisalimiana na Vijana wa Chipukizi na kuwa sisitiza kukilinda chama na kuwa mstari wa mbele kutekeleza ilani za Chama


Kila mmoja ana jua kuwa hakimu au jaji anapo hukumu kesi wasikilizaji wana kuwa Mahakimu namba moja,Hata mpira wa miguu unapo chezwa mashabiki ndio wanao kuwa waamuzi, Mwamuzi akienda kinyume basi ujue mashabiki wata mzomea, kwa maana hiyo naomba kila mtanzania awe mwamuzi wa uchaguzi unao kuja ili tuweze kuchagua viongozi wazuri.Viongozi wa Serekari na viongozi wa chama wamekuwa wakiimba wimbo wa Amani jee watanzania tuna upokea wimbo huo wa amani ni juu yetu hivi sasa kuingia katika chumba cha mtihani ili kila kiongozi anaye toa sera zake majibu yawe mwezi wa kumi mwaka huu, lakini katika kuingia darasani tusimusahau Mwenyezi Mungu.

Kijana machachali wa CCM  Nape Mnawiye akiteremuka katika ndege ya kukodi kueneza itikadi za Chama


Binadamu amezoea lawama mara zote anasahau kile anacho fanya yeye jee ni kizuri, umefika wakati wakujiandikisha katika dafutari la mpiga kura, uta kuta mwingine hana habari kabisa lakini akichaguliwa kiongozi mbovu yeye ana kuwa wa kwanza kulamu. Na mnukuru sipika wa Bunge la Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Anna Makinda amesema  :ujitahidi kufanya mazuri ili ukifa iwe ni kumbukumbu lako kwa vitendo vizuri ulivyo fanya

Ukiwa na nia ya kuwa pamoja na watu hutaona garama ya kukodi ndege unacho taka ni kuwa karibu na wananchi

No comments:

Post a Comment