KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Friday, September 11, 2015

MGOMBEA UBUNGE KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA MH. JOSEPH LUSIUS FUIME AMESMA SHABAHA YAKE KUBWA NI KUONDOA KERO ZA WANAWAKE NA WATOTO KATIKA HOSIPITALI YA MKOA RUVUMAMgombea Urais kupitia Ukawa  mh Edward Lowasa akiwa mkoani Ruvuma amesema endapo wana Ruvuma wata mpa ridhaa ya kuingoza nchi atahakisha madini yaliyoko nchini tanzani ya nawanufaisha wa tanzani kwa kupata ajira kutokana na rasilimali za madini

Mgombea Uraisi kupitia Ukawa  akiwa viwanja vya Matarawe Mkoani Ruvuma amesema wawekezaji watatakiwa kujipanga upya kwa kuwa sekita ya madini itapaswa iwe ndiyo mkombozi kwa vijana kwa kuwapa ajira,haita wezekana vijana wakose ajira wakati furusa zikiwa nyingi

Mheshimiwa Edward Lowasa akihutubia katika viwanja vya Matarawe Mkoani Ruvuma  amesema  Mikataba ya uchimbaji wa madini aina zote endapo  wananchi watamweka madarakani mikataba yote ita chunguzwa upya ili mikataba hiyo iwe na faida kwa wanchi na siyo vinginevo


Mgombea Ubunge kupitia cha cha chadema Joseph Fuime amesema endapo atapata ridhaa ya kuwa Mbunge Jimbo la Songea ata hakikisha hospitai ya Mkoa ina jengwa upya ili iweze kukidhi changamoto zinazo wakumba wanawake waja wazito na WatotoNo comments:

Post a Comment