KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Wednesday, December 9, 2015

BARAZA LA MADIWANI LA MADIWANI LAASWA KUTO HUJUMU HALIMASHAURI YA TUNDURU

 Kabula ya kuanza kikao cha Baraza la Madiwani Tunduru kwanza kulianza na Maombi Malumu
 Madiwani wa Baraza la Tunduru wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akiwa asa madiwani kuachana na Tamaa wao wawe msitari wa mbele kuleta Maendeleo Katika Kata zao
 Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Ruvuma wakiwa katika Baraza la Madiwani Tunduru

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabiti Mwambungu amewataka madiwaku kufanya kazi walizo waahidi wana nchi waache kabisa kulifanya baraza la madiwani kuwa sehemu ya marumbano ya kisiasa.Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ameyasema hayo wakati akizindua baraza la Madiwani  lenye adiwani 56 wakiwemo madiwani wa CCM 39 na Chama cha wananchi CUF Madiwani 17 amesema ni juu ya madiwani kuhakisha wana shiriki katika baraza la madiwani kwa lengo la kuinua uchumi wa Haliamshauri ya Tunduru

 Madiwani wa Chama cha CUF Wakijitambulisha kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh Said Thabit Mwambungu

 Moja ya Maendeleo ya Wilaya ya Tunduru ni kuwa na Nyumba Bora hiyo ni Hoteli ya Kisasa ikiwa na Nyumba ya kulala wageni
 Katibu wa CCM Wilaya ya Tunduru Andrew Chatwanga aki badilishana Mawazo na Diwani kupitia Tiketi ya CUFF
 Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo akiwa ukumbini tayari kwa kuwa apisha Madiwani Tunduru
 Watendaji wa Halimashauri ya Wilaya ya Tunduru wakishuhudia kuapishwa kwa Madiwani

                 Madiwani kabla ya kuapishwa wakingoja hakimu kuwasili na kuweza kuwa apisha

 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akisaini kitabu cha wageni katika ikulu ndogo ya Tunduru
                   Kamati ya Ulinzi wakisaini kitabu cha wageni ikulu ndogo Wilayani Tunduru
 Mkuu wa Wilaya ya Tunduru akimpa maelezo Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kuhusu hali ya Kilimo Wilayani Tunduru
                                                                      SIRI HOTELL
 Mbunge wa Tunduru akifikilia jinsi ambavyo ataweza kubadilsha wananchi wake wa Tunduru katika Maendeleo

Mkuu wa MMkoa wa Ruvuma ammewaonya wale Madiwani wote watakao Shirikiana na watendaji katika kujumu Halimashauri ya Tunduru kwa Namuna yoyote ile hatua kali zita Chukuliwa Dhidi yao kazi ya MMadiwani ni kuelekeza wanancchi kulima mazao yata kayo waongezea kukua kwa uchumi wao kamma Korosho Mbaazi na ChorokoOfisi ya Mkuu wa Wilaya ya Tunduru imekataa kumtambua Mbunge wa Viti Malumu kupitia cha cha Democrasia na MMaendeleo Chadema Zubeda Sakuru kuwa Mbunge wa Viti Maalumu kwa kukosa kuja na nyaraka za kuoinyesha uteuzi wauwakilishi jimmbo la Tunduru Katibu TawalaZari Buringo  akitoa Tarifa kwa Madiwani wa Tunduru ammeongeza kusema Hata pokelewa Mpaka Taratibu zote Zikamilike

No comments:

Post a Comment