KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Friday, December 4, 2015

MKUU WA MKOA WA RUVUMA AWATAKA WATENDAJI AMBAO HAWATA WEZA KWENDA NA KASI YA MH.RAIS JOHN POMBE MAGUFULI WAACHIE NGAZI .KITU KINACHO ITWA MUNGU MUTU HAKIKO



Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu amewataka Walimu wanaotegemea Michango ya wanafunzi wa Shule za Msingi au Sekondari waache tabia hiyo mara moja.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabiti Mwambungu ameyasema hayo wakati akifungua Baraza la Kwanza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa.




Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stela Martin Manyanya amesema pamoja na kuhimiza Elimu, lakini kumekuwa na tabia ya walimu kuacha kazi na kushiriki mambo ya Biashara mwalimu atakayebainika akifanya Biashara wakati wa kazi, Hatua kali zitachukuliwa dhidi yake.

Hakimu Mwandamizi  wa Mahakama ya Mwanzo Mbambabay Nicson Maleko aki Tayarisha Kiapo
                                          Anusiata akimvisha sikafu Mwenyekiti wa Halimashauri ya Nyasa
Ukumbi wa kisasa uliopo wilaya ya Nyasa kama unavyo onekana ni moja ya vivutio katika wilaya ya Nyasa
Mkurugenzi wa wilaya ya Nyasa  Jabri Shekimweri akisoma mikakati aliyo jiwekea katika kukuza uchumi wilaya ya Nyasa
Moja ya Vivutio vilivyoko katika wilaya ya Nyasa ni Ziwa Nyasa kama unavyo liona hapa


Wilya ya nyasa ina kabiliwa na vitendea kazi vya kuweza kuendeleza Maendeleo Baraza la Madiwani ilimeazimia kutendea kazi vyanzo vyote vya uchumi ikiwemo ziwa nyasa, sehemu za utalii,Pamoja na kushiriki kilimo cha umwagiliaji

Zao kubwa la Mwambao mwa Ziwa Nyasa ni Samaki na Dagaa wanao patikana katika ziwa Hilo hapo ukiona kwa Mbali kuna kambi za Chadema na Kambi za CCC Katika Uvuvi
Mkurugenzi wa Blog ya Songea Habari aliweza kuzuru katika ziwa nyasa na kiukuta Dagaa watamu kuliko dagaa wengine wowote Ulimwenguni ,Hicho kipulastiki alicho shika kinauzwa shilingi elufu kumina mbili sawa na kilo moja shilingi 4000/=
Ukiwa Ziwa Nyasa kwa kweli utajionea Raha hebu ona jinsi Dagaa walivyo weupe ukionja ndugu yangu safari za Nyasa Zita kuwa kila wakati


Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu katika kikao hicho amewaagiza watendaji wa kata kusimamia usafi pia kuangalia kuwa kila Mwananchi anashiriki pamoja na kuwa na choo.



Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabiti Mwambungu amesema mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mh John Pombe Magufuli kufuta Ada kuanzia awali mpaka kidato cha nne, Wapo walimu wanaoona kuwa maisha yao hayaendi isipokuwa kwa michango ya wanafunzi.Waalimu hao waachie ngazi.

Maafisa watendaji walio ambiwa waache kuwa Miungu Mtu wafanye kazi kwa uledi bila kuwa nyanyasa wananchi
Madiwani wa Halimashauri ya Wilaya ya Nyasa kabla ya kula kiapo waki msikiliza Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akihimiza usafi kwa kuanzia Mtu mmoja mmoja haji jamii kwa ujumula
Hakimu Mwandamizi  wa Mahakama ya Mwanzo Mbambabay Nicson Maleko akingoja kuwaapisha waheshimiwa Madiwani
Sekiriteriati ya Kuratibu kikao cha kwanza cha Baraza la Madiwani wilayani Nyasa
Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh. Magreti Malenga akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kulihutubia Baraza la Kwanza la Madiwani Wilaya ya Nyasa
                        Madiwani na Watendaji wa Halimashauri ya Nyasa wakiwa kwenye kikao
Hakimu Mwandamizi  wa Mahakama ya Mwanzo Mbambabay Nicson Maleko akiwaapisha Madiwani wa Hal;imashauri ya Wilaya ya Nyasa wakila kiapo cha Serekari tayari kwa kulitumikia Taifa

No comments:

Post a Comment