KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Friday, December 4, 2015

MTUHUMIWA WA ULIMAJI WA BANGI MKOANI RUVUMA ATIWA MBARONI NA POLICE

 Ilikuwa siyo kazi rahisi kufikia ambako Bangi hulimwa katika mtaa wa Namanyigu Manspaa ya Songea Hapo ASP Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma akipasua Misutu ili afike eleo lililo limwa Bangi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Mihayo Msikhela amewataka wananchi kutumia Mabonde kwa kulima mazao ambayo yana manufaa kwa jamii badala ya kulima madawa ya kulevya ikiwemo Bangi.Jeshi la polisi Mkoani Ruvuma limefanikiwa kumkamata Ndugu ambaye anatuhumiwa kwa kumiliki shamba la Bangi lenye ukubwa wa nusu heka ambalo alilima katikati ya Manispaa ya Songea.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma ACP Mihayo Msikhela akimtaja Mtuhumiwa amemtaja kwa jina la      ambaye pia katika upekuzi nyumbani kwake imepatikana misokoto ya Bangi pamoja na mbegu.

 Mwandishi Mwandamizi wa Star Tv Adam Nindi akishangaa jinsi Bangi ilivyo sitawi ikionyesha ime pewa Mbolea ya Hali ya Juu

Mtuhumiwa aliyekamatwa amesema Biashara ya Bangi ilikuwa inamwezesha kusomesha watoto pamoja na matumizi ya kawaida, wakulima wengine wamelaani vikali ulimaji wa Bangi.

 Askari Shupavu wa Kichoma moto au kuiteketeza bangi iliyo kutwa katika shamba la mzee kilian Fussi
 Kamanda wa Police Mihayo Msekhela akirudi Ofissini kwa Njia ile ile aliyo jia yenye Upupu na Manyigu
Mtuhumiwa akisikitika baada ya kuona Bangi yake ikiwa ime ngolewa na kikosi cha FFU

No comments:

Post a Comment