KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Friday, January 22, 2016

AMIRI JESHI MKUU WA TANZANIA MH.JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AONYESHA UAMIRI WAKE MKUU

 Toka Tanzania imepata uhuru hakuna siku Rais wa Tanzania akavaa mavazi ya kijeshi achana na Rais Nyerere wakati wa vita vya Iddi amini Dada na Waziri mkuu wawakati ule Rashid Mfaume Kawawa aliye ongoza jeshi leo kwa mara nyingine tena Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania ava kijeshi zaidi Simwine  Mh,John Pombe Joseph  Magufuli
 Wananchi wa Arusha wakihangaika kuona miujiza ya John Pombe Joseph Magufuli kuvaa Sare za kijeshi hii inaashira nini Tuombe Mungu nguvu za Jemedari mkuu awe na maisha marefu
Wananchi wasipo fuata sheria hii ndiyo changa moto inayo wakuta jamani tufuate sheria ili tuepukane na changamoto hizi zinazo wakuta wewnzetu

No comments:

Post a Comment