KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Friday, January 22, 2016

UWEKEZAJI KATIKA NCHI YA TANZANIA UNA TEGEMEA ZAIDI WAZAWA WA NDANI HEBU ANGALIA UFUKWE WA WILAYA YA NYASA ULIVYO UNA NGOJA NINI KUWEKEZA

 Afisa mipango wilaya ya Nyasa Wiliam Kavindi akielezea jinsi ya viwanja vya uwekezaji katika wilaya ya nyasa na kukosa wawekezaji wa ndani ikiwa maana ya wazawa huku wakijitokeza watu mbalimbali.akiongea kwa niaba ya mkurugenzi wa nyasa Jabir Shekimweri amesema kuna viwanja vingi vina hitaji watu wa kujenga
 Moja ya wawekezaji wameweza kujenga nyumba kama hizo  mwambao wa ziwa nyasa unazo ziuona wewe una ngoja nini kuwekeza
 Nyasa kuna sitarehe kama unavyo mwona huyu dada jinsi alivyo kaa akipunga upepo wa ziwa nyasa jee mwenzangu una ngoja nini kufanya ziara katika wilaya ya nyasa hasa mwambao wa ziwa nyasa
 Dada luce kutoka mwambao wa ziwa nyasa kutoka mkali akieleza faida ya kukaa katika mwambao  wa ziwa nyasa alianisha faida kwanza kuwa mjasilia mali wa kuuza samaki na dagaa jaribu kutembelea ili ujikwamue kiuchumi
 Ofisi ya Mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya nyasa ukifika hapo uta pata mwongozo wa kuweza kupata kiwanja
 Baadhi ya wadau wa ndani wakikagua maeneo ya ufukwe tayari kwa kuwekeza kama ilivyo ada uwekezaji katika fukwe huanzia mita mia moja
 ukifika katika ufukwe huu wa ziwa nyasa eneo la mtipwili utaona mchanga mororo ulivyo pendeza
 Nyuma ya hao waqwekezaji unaona jinsi ziwa nyasa linavyo vutia na wewe nenda ili ufaidi uhondo wa ziwa nyasa
 hapo ni eneo la chiulu ambapo nako kuna vivutio vikubwa vya kuweza kuvutia utambarare na hali ya hewa nzuri
 Afisa mipango wa halimshayri ya wilaya ya nyasa akiwa onyesha wawekezaji maeneo mbambali
Hapo mkurugenzi wa Blog ya Songea habari Adam Mzuza Nindi akiwa katika moja ya holeli mashuhuri akinywa uji wa ulezi ulio changanywa na maziwa ya mgando mkate ukiwa samaki aina ya mbufu

No comments:

Post a Comment