KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, January 14, 2016

WAZIRI MKUU MH MAJALIWA APIGA MARUFUKU UTOAJI WA MIMBA KATIKA HOSIPATALI ZA SEREKARIWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kasimu Majaliwa amezitaka hospitali za Mkoa wa Ruvuma kutatua changamoto za vifaa tiba kwa kukopa  mkopo nafuu kutoka Bima ya Afya.

Diwani wa Kata ya Majengo Hussen Abdlukadiri akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Majaliwa Kasimu Majaliwa
                                         Mariamu Simba na Waziri Mkuu Mh.Majaliwa Kasimu Majaliwa


Waziri mkuu Majaliwa  aligundua uchakavu wa vifaa tiba baada ya kutembelea chumba cha upasuaji katika Hospitari ya Mkoa wa Ruvuma, ameagiza uongozi wa Bima ya Afya kushirikina na Hospitali kutatua swala la vifaa tiba pamoja na kuongeza maduka ya madawa ya takayo toa dawa kwa watu wenye kadi za Bima ya Afya
Waziri Mkuu Majaliwa amesema Bima ya Afya katika Tanzania imesaidia sana kwa kununua vifaa tiba na kuzikopesha hosipitali, ametoa ushuhuda kuwa moja ya wafaidika ni katika jimbo la Mh Waziri hivyo Hospitali zitumie Bima ya Afya kutatua changamoto zilizopo.

Mbunge wa Jimbo la Tunduru Mpakate akisalimiana na Waziri Mkuu Mh. Majaliwa Kasimu Majaliwa
Mh . Diwani wa Kata ya Mjini  Shaibu Chitete akipeana mkono na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya MungKasimu Majaliwaano wa Tanzania Mh.Majaliwa
Afisa Ushirika Mkoa wa Ruvuma akiwa na Mwenyekiti wa Wazazi Manspaa ya Songea Agnes Hinju
Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Magreti Malenga akiwa na Mkuu wa wilaya ya Mbinga  Senyi Ngaga wakiwa uwanja wa Ndege Luhuwiko
Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Magreti Malenga akiwa na Mkuu wa wilaya ya Mbinga  Senyi Ngaga wakiwa uwanja wa Ndege Luhuwiko Pamoja ni Mkuu wa Wilaya ya Mbinga bado akiwa na Mama lazima adeke kama unavyo mwona
Mama Mwambungu akiwa uwanja wa Ndege Ruhuwiko akisubiri kumpokea Waziri mkuu Majaliwa Kasimu Majaliwa
Mkuu wa wilaya ya Songea Benson Mpesya akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Majaliwa Kasimu Majaliwa
Katibu tawala Mkoa wa Ruvuma Hassani Bendeyeko akisalimiana na Mh.Waziri Mkuu Majaliwa Kasimu Majaliwa
Kamati ya Ulinzi na Usalama wakisalimiana na Waziri Mkuu Majaliwa Kasimu Majaliwa Waziri Mkuu Majaliwa Kasimu Majaliwa
Afisa Uhamiaji Mkoa wa Ruvuma akisalimiana na Waziri Mkuu Majaliwa Kasimu Majaliwa
Afisa wa Jeshi la Magereza akisalimiana na Waziri Mkuu Majaliwa Kasimu Majaliwa
Meneja wa Hifadhi ya Chakula Mogan Mwaipyana akisalimiana na Waziri Mkuu Majaliwa Kasimu Majaliwa
Kamanda wa Police Mihayo Msekhela akisalimiana na Waziri Mkuu Majaliwa Kasimu Majaliwa katika uwanja wa ndege Luhuwiko Manspaa ya Songea
Katibu wa CCM Mkoa wa Ruvuma  Velena Shumbusho akisalimiana na Waziri Mkuu Majaliwa Kasimu Majaliwa

No comments:

Post a Comment