KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Friday, January 22, 2016

WANANCHI WA KIJIJI CHA CHIULU WILAYANI NYASA WAWATAKA VODA COM KUWALIPA USHURU WA KUJENGA MNARA KATIKA ENEO LAO

Mwenyekiti wa kijiji cha Chiulu wilayani Nyasa ameuomba uongozi wa vodacom kuweza kuwalipa ushuru wa kujenga mnara katika kijiji hicho. Amesema zaidi ya miezi sita sasa hawaja pata ushuru wa ujenzi wa mnara huo wameomba uongozi wa Voda Com kuonana na uongozi wa kijiji cha chiulu kumaliza changamoto zao

No comments:

Post a Comment