KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, January 14, 2016

SHIRIKA LA PADI LINALOHUDUMIA WAZEE MKOA WA RUVUMA NA WAZIRI WA AFYA MH.UMMY MWALIMU SONGEA

 Mzee kutoka Unangwa akimwelezea Mfanyakazi wa PADI Matatizo anayo ya pata ikiwa na pamoja na kutetemeka mda wote wa Maisha aliyo nayo hivi sasa
 Mkurugenzi wa Bima ya Afya Taifa Bw. Maiko Mhando akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Hassan Bendeyeko katika ofisi za uwanja wa Ndege Songea.
 Mwenyekiti wa Baraza Huru la Wazee Manispaa ya Songea Lenzian Nyoni akiongea na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na Watoto Mh Ummy Mwalimu juu ya changamoto zinazowakabili wazee Mkoani Ruvuma akiwa katika ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma

Mkurugenzi wa Bima ya Afya Taifa Maiko Mhando akiagana na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu baada ya kumaliza Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma.
Mkurugenzi wa Shirika la PADI  Issaca Msigwa akipeana mkono na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Wazee na Watoto Ummy Mwalimu  akiwa bSongea
Mkurugenzi Mkuu wa Bima ya Afya Maiko Mhando akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh. Saidi Thabiti Mwambungu
Gidionoi Mwakanosya akiwa na Mbunge wa Viti Malumu Jacrini Msongozi wakiwa Uwanja ndege
Dereva Mashuhuri wa Mkoa wa Ruvuma ambaye huwaendesha Waandishi wa Habari Mkoa wa Ruvuma akisalimiana na Mpiga picha Mashuhuri Mkoani Hapa
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akiwa Kiwanjani tayari kwa kumsindikiza Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii jinsia wazee na watoto
Mwakilishi wa Wazee Mkoani Ruvuma Lenziani Nyoni akiwa na Mama Sofia Hasara wakiongea na Waziri WA Afya Ummy Mwalimu Uwanja wa Ndege
Waziri wa Afya akisikiliza Maelezo ya Wazee kutoka kwa Mkurugenzi wa PADI  Issaca Msigwa kuhusu Maendeleo ya Wazee

No comments:

Post a Comment