KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Tuesday, March 18, 2014

MKUU WA MKOA WA RUVUMA SAID THABIT MWAMBUNGU ATOA ZAWADI KWA MKONGWE WA HABARI RUVUMA


Mwenyezi Mungu Huwapa watu Zawadi aina mbalimbali wapo walio pewa Ucha Mungu na Wapo wapo watu walio pewa Zawadi na Mungu Kuwa Viongozi wa Aina Mbalimbali ya Kutumikia watu ,Huyu anaye Zungumuza nanyi Kapewa karama na Mwenyezi Mungu Kuwa Mzazi wa Watoto wa Wili Mmoja Husuna Adam Mzuza Nindi na Wapili Hasani Adam Mzuza Nindi
 kujua kama wapo wanao furahi na Zawadi hiyo ni pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Saidi Thabiti Mwambungu aliye Toa zawadi ya Chupa ya kuwekea Maziwa ya Watoto kama anavyo Mkabidhi Mwandishi wa Habari Mongwe Adamu Mzuza Nindi Katika Ofisi ya Mkuuu wa Mkoa Ruvuma (Picha na Joice Joliga wa Mwananchi Communication )


Mama Mzazi wawatoto Mapacha Maula Chale abla ya Kujifungua akiwa katika Hospitali ya Peramiho Songea Vijijini Hapo ameshika Nguzo siku Moja kabla ya Kujifungua

Hao ndio watoto walio pewa Chupa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Saidi Thabiti Mwambungu akiwepo Husuna Adam Mzuza Nindi na Hasani Adam Mzuza Nindi

No comments:

Post a Comment