KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, March 29, 2014

UHAI WA BINADAMU HUTEGEMEA AFYA MSINDIKIZE MKEOA KILINIKI ,TUNAHIMIZWA KUPELEKA WATOTO KILINIKI JEE WEWE UNA MSINDIKIZA MKEO KUJUA MAENDELEO YA MTOTO WAKO?

 Furaha yoyote ile hutokana na kuwa na Afya Nzuri wanafunzi hao wanaoonekana wazazi wao walitekeleza mahitaji yote pamoja na kuwa peleka kiliniki .sasa kinacho takiwa wewe na mimi tuongozane na wake zetu kwenda kujua Afya za watoto wetu kiliniki
 Manspaa ya Songea ime kua hicho  unayochok iona ni kituo cha Afya  cha Mjimwema Manspaa ya Songea akina mama wakiwa Tayari kuingia Kiliniki
 Akina mama ambao wanajua maana ya kutunza watoto wakue katika hari bora kiafya huwajibiki kila mwezi kwenda kiliniki hapo wanaonekana wakiwa foleni tayari kwa kuwa pima watoto wao uzito.
Baada ya kuzingatia kanununi za Afya hatimaye Wanawake Watoto wana faidi faida ya kutunza Afya zao hapo wapo katika mkutano wakimaendeleo kujadili maswala ya Maji katika kijiji cha Upale Wilaya ya Nyasa
 Kama unavyo ona Blog hii husambaa katika  Mkoa mzima kuangalia Maswala ya Afya hapo wananchi wa Litembo Wilaya ya Mbinga wa kisikiliza Mkutano wa Hadhara kuhusiana na Elimu ulio hutubiwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabi Mwambungu
 Kama tulivyo ainisha toka Mwanzo Shabaha kubwa ni kuonyesha Afya za Watoto baada ya Wazazi wao kutimiza kanuni zote za Afya ndio Maana una waona watoto hawa wa litembo mbinga  wakiwa na Afya Nzuri
 Kanununi za Afya zina kutuma kumpima Mtoto kila wakati Hapo mtoto akiwa kiliniki kupimwa uzito ni jambo dogo lakini halipaswi kupuuzwa
Unapo sikia Umatengo au Mbinga hali yake ya hewa ni Nzuri ni Hali ya Ubaridi ikiwa imezungukwa na Milima kama unavyo ona

No comments:

Post a Comment