KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, March 27, 2014

MTAJI WA MWANADAMU NI MAJI HEBU TUONE WATU WA BONDE LA MTO RUVUMA NA PWANI YA KUSINI

Mshauri Rohit Kumar Das akiwakilisha maada jinsi ya kuweza kujua Hali ya Hewa na kuweza kupata matumizi mazuri ya maji amesema tunapo sema matumizi mazuri ya maji Binadamu hulenga matumizi yale yanayo husu kufaidika kwa binada la kikwaajili ya viumbe vyote vilivyopo Duniani
wadau wa maji kutoka bonde la mto Ruvuma na Pwani ya kusini wakisikiliza hotuba ya mgeni rasimi akielezea kuhusu uharibifu wa mazingira unao sasabisha baadhiya vyanzo vya maji kutoweka
Viongozi waandamizi wa Bonde la Pwani kusiuni na Bonde la Mto Ruvuma waki badalishana mawazo wakiweka mikakati jinsi ya kuweza kufanikisha mradi wa Matumizi mazuri ya maji katika Bonde la Mto Ruvuma na pwani ya kusini aliye katikati ni katibu tawala Mkoa wa Ruvuma
Mshauri wa Matumizi ya maji Duraisaminathan Visvanathan  akiwa ameongozana na Kitibu tawala Mkoa wa Ruvuma Hasani Bendeyeko wakiingia ukumbi wa semina
wajumbe au wadau wamaji kutoka mkoa wa Mtwara,lindi, na Ruvuma wakisikiliza kwa makini jinsi ya kuweza kuviokoa viumbe vinavyo tumia maji wakiwemo na binadamu

Mshauri Sylvand Kamugisho wapili kushoto akiratibu kwa makini kile kinacho weza kuwasaidia watalamu mbalimbali kuweza kufanikisha mradi wa matumizi bora ya maji hasa kwa walalahoi walioko vijijini ambao wana tegemea utalamu wa Vichwa hivyo unavyo viona
Wajumbe mbalimbali wakionyesha umakini wa kusikiliza na kuandika kuhusu maswala ya matumizi bora ya utumiaji  Maji
Unafikiri nini kuhu huyu mtu wa kwanza kajiuma au ana furahia utamu wa mada ?
Nakuambia siyo mchezo watu wame dhamilia kuhakisha bonde la mto Ruvuna na Pwani ya kusini ina tunza vyanzo vya maji na matumizi bora ya maji
Mshauri Duraisaminathan Visvanathan wa kwanza kushoto akisikiliza kwa makini hotuba ya mageni Rasimi katibu tawala mkoa wa Ruvuma Hasani Bendeyeko akieleza kuhusu uharibifu unao fanywa na mifugo kuwa na mifugo mingi bila kuitumia na moja ya chanzo cha kuharibu Mazingira
unamona Mshauri Sylvand Kamugisho alivyo makini na kazi yake
Washiriki wa kiwa katika Semina ya Matumizi bora ya Rasilimali Maji wakiwa ukumbi wa VETA Songea

No comments:

Post a Comment