KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, March 29, 2014

IJUE SHULE YA SECONDARY BEROYA ILIYOKO MKOA WA RUVUMA NA MAFANIKIO YAKE

YA
 Wahitimu wa Kidato cha Sita kutoka Shule ya Secondary Beroya waki msikiliza Meneja wa Shule Sabasitian Waruyuba wakati akitoa Nasaha ,


 Shule ya Sekondary Beroya iliyoko Mkoa wa Ruvuma imekamilika kwa kila kitu kimaabara kama unavyo waona wana funzi hawa wakitengeneza vifaa vya kuwaona maadui bila ya wao kuonekana hiyo ni Bayonokula
 Furaha ya Mgeni akifika kwako ni kumkarimu Mgeni rasimi katika Maafali ya 16 ya kidato cha sita Afisa Elimu Secondary Manspaa ya Songea akiwa Ofisi ya Mwalimu Mkuu wa Sekondari ya Beroya


 Wanafunzi katika Sekondari ya Beroya wakimwelekeza Mgeni Rasimu Kuhusu matumizi ya Lensi
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondary ya Beroya waki onyesha jinsi wanavyo weza kujua vyakula vyenye lishe kwa kutumia Maabara
 Shule ya Sekondary Beroya huwa na kawaida ya kuwazawadia wanafuurinafunzi wakipokea bahasha baada ya kufanya Viznzi wanao fanya vizuri hapo wa


Kama nilivyo kuambia shule ya Beroya ime kamika kimaabara hapo kijana katika Shule ya Sekondari ya Beroya akionyesha jinsi wanavyo jifundisha maisha ya Nyoka aina ya Chatu yalivyo
Hilo siyo  katuni ni Nyoka halisi aina ya Chatu ambaye yuko Maabara ,Beroya Mwaka Huu imefanya vizuri katika mitihani ya Kitaifa na Mkoa Pia

No comments:

Post a Comment